-
UN yaonya tena: Sudan Kusini inakaribia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
Mar 26, 2025 02:41Umoja wa Mataifa umeonya kuwa Sudan Kusini iko kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huku ghasia kati ya pande zinazohasimiana zikiongezeka.
-
UNHCR: Ghasia Sudan Kusini zimelazimisha watu 10,000 kukimbilia Ethiopia
Mar 14, 2025 02:29Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema ghasia katika kaunti za kaskazini mwa Sudan za Nasir na Ulang zimeongezeka kwa kasi, na kuwalazimu zaidi ya watu 10,000 kukimbilia nchi jirani ya Ethiopia.
-
Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi mawaziri 3
Mar 11, 2025 06:59Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini amewafuta kazi mawaziri watatu jana Jumatatu katika mabadiliko yake ya hivi karibuni ndani ya Baraza la Mawaziri.
-
AU yatiwa wasiwasi na uhasama, taharuki nchini Sudan Kusini
Mar 09, 2025 11:24Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat ametoa wito wa kusitishwa mara moja uhasama na mvutano wa kisiasa nchini Sudan Kusini.
-
Rais wa Sudan Kusini ataka utulivu baada ya askari 28 kuuawa
Mar 08, 2025 07:01Jenerali wa Jeshi la Sudan Kusini na makumi ya wanajeshi wameuawa baada ya helikopta ya Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijaribu kuwahamisha askari hao kutoka mji wa kaskazini wa Nasir iliposhambuliwa na genge la wanamgambo.
-
Sudan Kusini yawatia mbaroni 'wapambe' wa Riek Machar
Mar 06, 2025 02:27Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar; huku wanajeshi wakiendele kuizingira nyumba yake katika mji mkuu, Juba.
-
Watu 20 wapoteza maisha katika ajali ya ndege Sudan Kusini
Jan 29, 2025 12:43Kwa akali watu 20 wameaga dunia katika ajali ya ndege iliyotokea leo Jumatano nchini Sudan Kusini.
-
Polisi: Watu 600 wametoroka kizuizini Sudan Kusini
Jan 23, 2025 07:38Polisi nchini Sudan Kusini imesema watu 600 waliokuwa wakizuiliwa baada ya kukamatwa kwa kushiriki maandamano ya ghasia na uporaji wa biashara wametoroka katika jela ya kijeshi katika mji mkuu Juba.
-
Wananchi wa Sudan Kusini wanataabika na mafuriko
Dec 24, 2024 02:32Mafuriko ya msimu yaliyoiathiri Sudan Kusini, ambayo hapo huko nyuma yalikuwa yanatabirika na yalikuwa ni sehemu ya maisha ya watu wa maeneo hayo, sasa yamekuwa janga la kila mwaka, na kuwalazimisha mamia ya maelfu ya watu kuyahama makazi yao.
-
Sudan Kusini na UN zatoa chanjo ya kipindupindu huku maambukizi yakiongezeka nchini
Dec 11, 2024 07:29Serikali ya Sudan Kusini, kwa ushirikiano na mashirika ya Umoja wa Mataifa imeanza kutekeleza kampeni ya utoaji chanjo ili kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu.