-
Umoja wa Mataifa: Machafuko Sudan Kusini si ya kibinadamu
May 30, 2017 00:00Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa na kueleza kuwa, machafuko na vitendo vya utumiaji mabavu katika nchi ya Sudan Kusini ni vya kidhalimu na visivyo vya kibinadamu.
-
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini atuhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa Kiir
May 26, 2017 22:49Waasi nchini Sudan Kusini wamemtuhumu Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kwamba amepokea rushwa kutoka kwa Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika ili kuendelea kumzuilia kiongozi wao Riek Machar ambaye yuko nchini humo.
-
Rais wa Sudan Kusini atangaza usitishaji vita wa upande mmoja
May 22, 2017 11:56Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini leo ametangaza usitishaji vita wa upande mmoja na kuahidi kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa katika nchi hiyo iliyoharibiwa vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
UN yabaini kuwepo ukiukwaji mkubwa wa haki za raia Yei, Sudan Kusini
May 20, 2017 23:03Ripoti ya Umoja wa Mataifa inaelezea matokeo ya uchunguzi wa kina kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na ukatili mwingine uliotekelezwa kwenye mji wa Yei jimbo la Equatoria ya Kati nchini Sudan Kusini kati ya Julai 2016 na Januari 2017.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusaidia wakimbizi wa Sudan Kusini
May 15, 2017 09:35Umoja wa Mataifa umetaka wakimbizi wa Sudan Kusini wasaidiwe ili waweze kujikimu na matatizo mbalimbali wanayokabiliwa nayo.
-
UN yaituhumu Ukraine kuwa inatuma silaha Sudan Kusini
May 15, 2017 03:02Umoja wa Mataifa umeituhumu Ukraine kuwa imekiuka vikwazo vya kimataifa dhidi ya Sudan Kusini kwa kuiuzia nchi hiyo ya Afrika silaha.
-
Wapinzani waungana dhidi ya serikali nchini Sudan Kusini
May 14, 2017 00:08Makundi saba ya upinzani nchini Sudan Kusini yamezika tofauti zao na kusema kuwa yatashirikiana kwa lengo la kuiondoa madarakani serikali ya sasa ya Rais Salva Kiir.
-
Rais wa Sudan Kusini ampiga kalamu nyekundu kamanda mkuu wa jeshi
May 12, 2017 11:45Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amempiga kalamu nyekundu kamanda mkuu wa jeshi la nchi hiyo.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini wamiminika Sudan kwa maelfu
May 12, 2017 01:55Maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaendelea kumiminika nchi jirani ya Sudan wakitafuta mahala salama katika nchi ambayo walijitenga nayo miaka kadhaa iliyopita.
-
Watu wenye silaha washambulia msafara wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini
May 09, 2017 23:50Watu wenye silaha wameushambulia msafara wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini na kujeruhi walinzi wake watatu ikiwa ni uthibitisho wa wazi kuwa hali ya kiusalama bado ni mbaya nchini humo.