Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Machar aikosoa Kenya kwa kumtimua msemaji wake

    Machar aikosoa Kenya kwa kumtimua msemaji wake

    Nov 05, 2016 00:06

    Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini ameijia juu serikali ya Kenya kwa kumtimua nchini humo msemaji wake James Gatdet Dak na kusisitiza kuwa hatua hiyo imekiuka Hati ya makubaliano ya Geneva.

  • Uhuru: Kenya haijutii kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini

    Uhuru: Kenya haijutii kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini

    Nov 03, 2016 12:57

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema taifa hilo halijuti kwa uamuzi wake wa kuwaondoa wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki walioko Sudan Kusini chini ya mwavuli wa kikosi maalumu cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa (UNMISS).

  • Umoja wa Mataifa wakiri vikosi vyake kushindwa kuwalinda raia Sudani Kusini

    Umoja wa Mataifa wakiri vikosi vyake kushindwa kuwalinda raia Sudani Kusini

    Nov 02, 2016 04:32

    Umoja wa Mataifa umetangaza na kukiri kwamba, vikosi vyake vya kulinda amani huko Sudani Kusini vilishindwa kuwalinda raia katika mji mkuu Juba wakati wa mapigano baina ya pande mbili mwezi Julai mwaka huu.

  • Kuongezeka vitendo vya utumiaji mabavu na ukatili nchini Sudan Kusini

    Kuongezeka vitendo vya utumiaji mabavu na ukatili nchini Sudan Kusini

    Oct 31, 2016 01:11

    Katika hali ambayo asasi za kimataifa zinafanya juhudi za kuhitimisha vitendo vya ukatili nchini Sudan Kusini, bado wimbi la vitendo hivyo vingali vinaendelea nchini humo.

  • Zaidi ya watoto 100 wanaotumika vitani Sudan Kusini wakombolewa

    Zaidi ya watoto 100 wanaotumika vitani Sudan Kusini wakombolewa

    Oct 27, 2016 01:59

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza habari ya kukombolewa zaidi ya watoto wadogo 100 waliokuwa wanatumika vitani nchini Sudan Kusini.

  • Salva Kiir awaonya wafanyao fujo Sudan Kusini

    Salva Kiir awaonya wafanyao fujo Sudan Kusini

    Oct 24, 2016 00:29

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewaonya wafanyao fujo na wanaozusha machafuko ya kikabila nchini humo.

  • UN: Makampuni ya Silaha ya Israel yanachochea vita Sudan Kusini

    UN: Makampuni ya Silaha ya Israel yanachochea vita Sudan Kusini

    Oct 21, 2016 04:36

    Jopo la Umoja wa Mataifa limepata ushahidi wa kuwepo mitandao ya silaha yenye makazi Israel na Ulaya Mashariki ambao inachochea vita vinavyoendelea sasa huko Sudan Kusini.

  • Raia Sudan Kusini waendelea kuuawa ovyo

    Raia Sudan Kusini waendelea kuuawa ovyo

    Oct 21, 2016 00:48

    Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wametangaza kuwa, raia wasiopungua 15 wameuawa katika kijiji kimoja kilichoko karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.

  • Riek Machar: Nitarejea Sudan Kusini liwe liwalo

    Riek Machar: Nitarejea Sudan Kusini liwe liwalo

    Oct 18, 2016 04:46

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema karibuni hivi atarejea nchini mwake akisitiza kuwa angali Makamu wa Rais wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Onyo la Rais wa Sudan Kusini kwa kiongozi wa waasi

    Onyo la Rais wa Sudan Kusini kwa kiongozi wa waasi

    Oct 17, 2016 06:36

    Rais wa Sudan Kusini amemuonya Riek Machar kiongozi wa waasi wa nchi hiyo na kumtaka ajiweke kando na siasa pamoja na madaraka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS