-
Watoto 11 wawa wahanga wa mashambulio ya Marekani Syria
Jun 10, 2016 02:54Kundi linalojiita la haki za binadamu nchini Syria limesema kuwa, mashambulizi ya muungano unaodaiwa ni wa kupambana na Daesh yameua raia wasiopungua 30 wakiwemo watoto wadogo 11.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran ametaka kupambana kwa dhati na ugaidi
Jun 09, 2016 23:16Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwa ni mhimili wa utulivu na usalama katika eneo la Mashariki ya Kati inaamini kuwa mapambano ya dhati na ya pande zote dhidi ya makundi ya kigaidi kwa minajili ya kurejesha amani na utulivu katika eneo na duniani kwa ujumla ni jukumu la kibinadamu.
-
Bunge la Syria laanza vikao, lamchagua Spika mwanamke
Jun 07, 2016 03:00Kwa mara ya kwanza kabisa, bunge la Syria limemteua mwanamke kuwa spika mpya wa bunge hilo.
-
UN yatahadharisha kuhusu kuwa wakimbizi watu zaidi ya laki mbili huko Syria
Jun 06, 2016 09:24Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuwa mapigano kati ya Wakurdi wa Syria na kundi la Kigaidi la Daesh karibu na mji wa Manbij huenda yakasababisha watu zaidi ya laki mbili na elfu kumi na sita kuwa wakimbizi.
-
Magaidi wameua kwa siku moja raia 270 nchini Syria
Jun 05, 2016 23:31Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa raia wasiopungua 270 wameuliwa katika mashambulio yaliyofanywa na magaidi nchini Syria katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Syria: UN inatia siasa kwenye masuala ya kibinadamu nchini humo
Jun 04, 2016 03:17Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa hatua ya Baraza la Usalama la umoja huo kutia kile alichokitaja kuwa siasa kuhusu hali ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Damascus yakadhibisha kupokea rasimu ya katiba
May 27, 2016 09:49Serikali ya Syria imekadhibisha taarifa kuwa imetumiwa rasimu ya Katiba mpya na kusema kuwa, Damascus haijapokea rasimu ya aina yoyote kuhusu katiba ya nchi hiyo.
-
Kaburi jingine la umati lagunduliwa katika mji uliokombolewa wa Palmyra nchini Syria
May 26, 2016 23:00Kaburi lingine la umati limegunduliwa katika mji wa Palmyra uliokombolewa hivi karibuni kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri, katikati mwa Syria.
-
Afrika Kusini yalaani mashambulizi ya kigaidi nchini Syria
May 25, 2016 09:10Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni nchini Syria.
-
Suleimani: Iran imeisaidia Syria kuirejesha nyuma Daesh
May 24, 2016 02:34Meja Jenerali Qassim Suleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds kinachofungamana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC amesema magaidi wa Daesh wangekuwa tayari wameshaiteka Syria nzima kama usingelikuwa ni msaada wa Iran.