-
Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia
Feb 21, 2016 12:31Spika wa Bunge la Syria ametoa onyo kali kwa ukoo wa Aal Saud unaojigamba kuwa utatuma wanajeshi wake nchini Syria.
-
Saudia yasisitiza kuwapatia silaha magaidi nchini Syria
Feb 20, 2016 23:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ametaka magaidi walioko nchini Syria waimarishwe kwa silaha.
-
Russia yapinga pendekezo la marufuku ya kupaa ndege Syria
Feb 17, 2016 11:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema, inapinga pendekezo la kuTENGWA eneo lisiloruhusiwa kupaa ndege ndani ya Syria na kutaka waratibu wa pendekezo hilo kuishirikisha serikali ya Damascus kabla ya kuchukuliwa uamuzi wowote.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kujali zaidi kadhia ya Palestina
Feb 15, 2016 11:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ana matumaini kwamba, nchi za Kiislamu zitafikia maelewano kwa ajili ya kulipa umuhimu mkubwa zaidi suala asili la ulimwengu wa Kiislamu yaani kadhia ya kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria
Feb 14, 2016 23:38Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.
-
Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria
Feb 14, 2016 23:38Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.
-
Syria yatuma barua kwa Umoja wa Mataifa ikilaani mashambulizi ya Uturuki
Feb 14, 2016 10:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kulaani mahambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Zarif: Wasyria wenyewe waamue mustakabali wao
Feb 13, 2016 22:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa uamuzi juu ya serikali ijayo ya Syria uko mikononi mwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Saudia na Uturuki zajiandaa kutuma vikosi vya nchi kavu Syria?
Feb 13, 2016 11:57Saudi Arabia na Uturuki zimesema kuwa huenda karibuni hivi zikaanzisha mashambulizi ya nchi kavu nchini Syria eti kwa lengo la kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh!
-
Rais Bashar al-Assad asisitiza kukombolewa ardhi yote ya Syria kutoka kwenye uvamizi wa magaidi
Feb 12, 2016 23:53Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kuwa operesheni za jeshi na vikosi vya wananchi zitaendelea hadi kuhakikisha maeneo yote ya ardhi ya Syria yamekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi.