-
Iran: Vikosi vamizi vya Marekani viondoke Syria mara moja
Mar 25, 2022 21:53Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vya Marekani na waitifaki wake vinapaswa kuondoka Syria haraka iwezekanavyo.
-
Ziara ya tatu ya Amir-Abdollahian nchini Syria katika kipindi cha miezi 7
Mar 25, 2022 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian, Jumatano, tarehe 23 Machi alitembelea kwa mara ya tatu nchi ya Syria katika kipindi cha miezi 7 iliyopita.
-
Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria
Mar 09, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la roketi la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine
Mar 06, 2022 01:19Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (SVR) imesema katika taarifa yake ya siku ya Ijumaa kwamba Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh (ISIS) katika kituo cha Al-Tanf nchini Syria ili wapelekwe Ukraine.
-
Feisal Miqdad: NATO imevuruga uthabiti wa dunia
Mar 02, 2022 20:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema Russia ina haki ya kuchukua hatua za kukabiliana na sera za NATO kujipenyeza ukanda wa mashariki na kuongeza kuwa, NATO sasa imegeuka kuwa hatari kwa dunia. Amesema majeshi ya Russia na Syria yanakabiliwa na tishio la NATO.
-
Kukosoa Syria na Iran vikao vya Baraza la Usalama kuhusu faili la silaha za kemikali la Damascus
Mar 02, 2022 20:29Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na faili la silaha za kemikali la Syria kilifanyika hivi karibuni na kukabiliwa na ukosoaji mkubwa wa wawakilishi wa Syria na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na utendaji wa kindumakuwili katika vikao hivyo.
-
Shamkhani: Kuweko wanajeshi wa Marekani ndicho kikwazo cha kupatikana amani Syria
Feb 27, 2022 22:53Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Syria ndicho kikwazo kikuu cha kupatikana amani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ravanchi: Utawala wa Syria haupaswi kudhoofishwa kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi
Feb 26, 2022 04:17Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, kuwepo kinyume cha sheria majeshi ya kigeni katika baadhi ya maeneo ya Syria kumetayarisha mazingira ya harakati na shughuli za makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Israel yashambulia kwa makombora mashariki mwa Qunaitra, kusini mwa Syria
Feb 23, 2022 03:42Duru za habari nchini Syria zimetangaza kuwa, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameshambulia kwa makombora maeneo ya karibu na mji wa Qunaitra nchini Syria.
-
Syria yazuia mashambulio ya Wazayuni dhidi yake
Feb 09, 2022 04:00Vyanzo vya Syria vimeripoti leo alfajiri kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya nchi hiyo imefanikiwa kuzuia mashambulio yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel kuulenga mji mkuu wa nchi hiyo Damascus.