-
Jeshi katili la Israel laua watu 15 wa familia moja wakiwemo watoto 9 Az-Zawayda, Ghaza
Aug 17, 2024 07:03Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wasiopungua 16 wakiwemo jamaa 15 wa familia moja, tisa kati yao wakiwa ni watoto wadogo, katika shambulizi la kinyama lililolenga watu waliolazimika kuhama makazi yao katika eneo la Az-Zawayda katikati mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Syria: Israel yenyewe imeshambulia Majdal Shams ili kupata kisingizio cha kupanua vita
Jul 28, 2024 23:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulio katika eneo la Majdal Shams lililoko kwenye Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu ili kuhalalisha lengo lake la kutaka kupanua wigo wa vita na uvamizi wake wa kijeshi katika eneo.
-
Vladimir Putin atahadharisha kuhusu hali mbaya ya Asia Magharibi
Jul 25, 2024 07:50Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu hali inayozidi kutokota ya eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Rais Assad atilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano wa kimkakati kati ya nchi yake na Iran
Jul 23, 2024 03:48Rais wa Syria Bashar Assad ametilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano na kuimarishwa ushirikiano na uratibu baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali.
-
Shambulio la utawala wa Kizayuni huko Damascus, Syria
Jul 14, 2024 02:33Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio la jeshi la Kizayuni huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Msisitizo wa Iran wa kuondoka bila masharti Marekani kutoka Syria
Jun 26, 2024 03:28Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ni jambo la dharura kwa vikosi vya Marekani kuondoka kikamilifu, kwa haraka na bila masharti kutoka Syria na kwamba, hatua hiyo ni muhimu kwa ajili ya amani na utulivu wa nchi hiiyo ya Kiarabu.
-
Saudia yateua balozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya muongo mmoja
May 27, 2024 08:27Saudi Arabia imetangaza kuteua balozi wake mpya nchini Syria ikiwa ni balozi wake wa kwanza baada ya zaidi ya muongo mmoja tangu ilipositisha uhusiano wake na serikali yar ais Bashar al-Assad.
-
Kaimu Rais: Iran itaendelea kuunga mkono kambi ya muqawama
May 23, 2024 07:32Kaimu Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuunga mkono kikamilifu kambi ya muqawama.
-
Russia yatangaza, imeharibu kambi 2 za magaidi nchini Syria
May 06, 2024 07:12Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imeharibu kambi mbili za magaidi wanaosaidiwa na Marekani huko magharibi mwa Syria.
-
Rais wa Syria: Mshikamano wa nchi za Kiarabu unapelekea kupatikana utulivu katika eneo
Apr 28, 2024 23:36Rais wa Syria amesema kuwa kuwepo mshikamamo baina ya nchi za Kiarabu na kutekeleza hatua za pamoja kutapelekea kupatikana amani na uthabiti katika eneo.