-
Pakistan yatuhumiwa kuunga mkono na kuisaidia Taliban katika mapigano ya Panjshir
Sep 07, 2021 02:56Sambamba na kuripotiwa habari zenye kugongana kuhusu kutekwa mkoa wa Panjshir nchini Afghanistan, kambi ya wapinzani katika mkoa huo imeituhumu Pakistan kuwa imeliunga mkono na kulisaidia kundi la Taliban katika mapigano ya eneo hilo.
-
Mpango wa Taliban wa kubadilisha katiba ya Afghanistan
Sep 06, 2021 20:48Mmoja wa wanachama wa Baraza la Uongozi la Taliban amesema kuna tofauti kubwa kati ya mfumo wa siasa wa zamani na wa sasa wa kundi hilo na kwamba siasa mpya za kundi hilo haziwezi kulinganishwa hata kidogo na za zamani.
-
Mullah Hassan Akhund apendekezwa na Taliban kuwa rais mpya wa Afghanistan
Sep 06, 2021 06:01Baadhi ya vyombo vya habari vya Pakistan vimetangaza kuwa, kundi la Taliban la Afghanistan limempendekeza Mullah Hassan Akhund kuwa rais wa baadaye wa nchi hiyo.
-
EU yataja masharti ya kuwa na mawasiliano na Taliban
Sep 04, 2021 05:48Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amedai kuwa EU haitalitambua rasmi kundi la Taliban, na badala yake amelipa kundi hilo masharti matano ya kuweza kuwa na mawasiliano nalo, eti kwa maslahi ya wananchi wa Afghanistan.
-
Ahmad Masoud asisitiza kuendelea kupambana na kundi la Taliban
Sep 04, 2021 03:29Ahmad Masoud, Kiongozi wa Waafghanistan wanaolipinga kundi la Taliban ametoa mwito wa kuendelezwa mapambano dhidi ya kundi hilo.
-
Msimamo wa Pakistan kuhusu masharti ya msaada wa jamii ya kimataifa kwa Taliban huko Afghanistan
Sep 02, 2021 06:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema kuwa kundi la Taliban linaweza kupatiwa misaada ya kimataifa kwa sharti kwamba liheshimu vipengee mbalimbali vya haki za binadamu.
-
Moscow: Tunataraji silaha za Wamarekani hazitatumika katika vita vya ndani Afghanistan
Aug 30, 2021 23:09Mjumbe Maalumu wa Rais wa Russia katika Masuala ya Afghanistan ameeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa ya silaha zililizoachwa na wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan na kusema kuwa kuna uwezekano Moscow ikashiriki katika kujenga upya uchumi wa nchi hiyo.
-
Kukaribia uundwaji wa serikali mpya ya Afghanistan
Aug 30, 2021 21:53Msemaji wa kundi la Taliban ametangaza kuwa, serikali mpya ya Afghanistan itaundwa katika kipindi cha wiki mbili zijazo.
-
Johnson: Tutaendelea kufanya mazungumzo na Taliban
Aug 28, 2021 03:41Waziri Mkuu wa Uingereza amesema hakuna uhusiano wowote kati ya Daesh na Taliban na kueleza kuwa serikali ya Uingereza itaendelea kufanya mazungumzo na kundi la Taliban.
-
Mazungumzo ya Mkuu wa CIA na Mullah Baradar; kielelezo cha uhusiano wa siri wa Marekani na Taliban
Aug 25, 2021 05:16Gazeti la Washington Post limeandika katika toleo lake la jana Jumanne kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA William Burns amekutana na kufanya mazungumzo kwa njia ya siri na Mkuu wa Kisiasa wa Taliban Mullah Abdul Ghani Baradar, katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.