-
Vyama Tanzania vyataka CHADEMA ifutiwe usajili kwa kuchochea udini na kutusi viongozi
Aug 02, 2023 07:59Baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya nchi hiyo ivifutie usajili vyama vinavyokiuka sheria katika ufanyaji mikutano ya hadhara, kwa kutoa lugha za kuchochea ubaguzi, udini na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali.
-
Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania lafanya mkutano wa dharura kujadili hali tete ya kisiasa nchini
Aug 01, 2023 13:29Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania limefanya mkutano wa dharura kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa nchini humo.
-
Serikali ya Tanzania yaweka pingamizi kesi ya kupinga uwekezaji bandarini
Jul 17, 2023 12:10Serikali ya Tanzania imeweka mapingamizi katika kesi iliyofunguliwa na mawakili wanne kupinga uwekezaji wa bandari za nchi hiyo na kuitaka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya iitupilie mbali kwa madai kwamba iko kinyume cha sheria na Katiba ya nchi.
-
Viongozi wa Afrika wajadili njia za kupunguza rushwa barani humo
Jul 09, 2023 12:08Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar nchini Tanzania, Hemed Suleman Abdulla amezitaka nchi mbalimbali barani Afrika kushirikiana na kushikamana ili kupunguza vitendo vya rushwa barani humo.
-
Ukatili wa kingono CAR; UN kuwatimua askari 60 wa Tanzania
Jun 10, 2023 11:22Umoja wa Mataifa umesema utawafukuza makumi ya askari wa Tanzania, ambao ni sehemu ya Kikosi cha Kulinda Amani cha moja huo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) kwa kutuhumiwa kufanya unyanyasaji wa kingono.
-
Rais Kagame ziarani Tanzania, aeleza umuhimu wa nchi hiyo kwa Rwanda
Apr 28, 2023 02:23Rais wa Rwanda, Paul Kagame, jana alianza ziara ya siku mbili nchini Tanzania inayolenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili huku akimpongeza mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassa kwa kufanya juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Poda za Kimarekani za Johnson & Johnson zinasababisha saratani, Tanzania yaanzisha uchunguzi
Apr 08, 2023 11:28Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo kwenye soko poda za watoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani, Johnson & Johnson (J&J), ambazo imebainika kuwa zinasababisha saratani.
-
WHO: Dunia iisaidie Tanzania kukabili Marburg; kesi mpya zaripotiwa E.Guinea
Mar 24, 2023 07:15Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na kuiunga mkono Tanzania katika kupambana na mripuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg.
-
Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lafanyika visiwani Zanzibar, Tanzania
Mar 19, 2023 12:39Kongamano la siku mbili la Idhaa za Kiswahili Duniani limeendelea leo visiwani Zanzibar nchini Tanzania kwa mada mbalimbali zilizowasilishwa na wataalamu wa lugha hiyo kutoka pembe tofauti za dunia.
-
Ugonjwa usiojulikana wazua wasiwasi mkoani Kagera, Tanzania, waua watu watano
Mar 17, 2023 07:02Serikali ya Tanzania imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana Mkoani Kagera katika Wilaya ya Bukoba Vijijini ambapo watu 7 wanasadikika walipata dalili za homa, kutapika, kutokwa damu maeneo mbalimbali ya mwili na figo kushindwa kufanya kazi.