-
Uchaguzi mdogo wa Bunge Zanzibar, CCM yashinda kiti cha Dimani, yaongoza udiwani
Jan 23, 2017 01:21Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar na kuzoa viti vya udiwani katika maeneo mengi Tanzania Bara katika majimbo ambayo kura zake zilikuwa zimehesabiwa na matokeo yake kutolewa hadi kufikia jana usiku.
-
Uchaguzi mdogo wa ubunge Zanzibar; mgombea wa upinzani adai ni 'vurugu tupu'
Jan 22, 2017 13:32Uchaguzi mdogo wa jimbo la ubunge la Dimani viswani Zanzibar nchini Tanzania umefanyika leo huku chama kikuu cha upinzani visiwani humo cha Wananchi (CUF) kikilalamikia kile kilichodai kuwa ni ukiukaji mkubwa wa sheria na taratibu za uchaguzi.
-
SAUTI: Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi visiwani Zanzibar
Jan 12, 2017 13:52Leo visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Januari 1964.
-
Watu 12 wafariki dunia kwa kuzama maji nchini Tanzania
Jan 11, 2017 01:20Watu 12 wameripotiwa kufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini nchini Tanzania.
-
Tanzania kuchunguza madai ya kuifanyia ujasusi Malawi
Dec 27, 2016 01:13Serikali ya Tanzania imesema, itafanya uchunguzi kuhusu habari zilizoripotiwa jana na vyombo vya habari vya Malawi vinavyodai kuwa majasusi wanane wa Tanzania wametiwa mbaroni wakifanya ujasusi katika mgodi mmoja wa urani katika nchi hiyo jirani.
-
Tanzania yakanusha kuweko nchini humo kirusi cha Zika
Dec 17, 2016 13:31Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema hakuna uthibitisho wa kuwepo kwa ugonjwa wa Zika nchini humo.
-
Miili sita yapatikana mtoni Mkoa wa Pwani, nchini Tanzania
Dec 08, 2016 06:07Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani nchini Tanzaia, zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya plastiki.
-
Tanzania mwenyeji wa mkutano wa AU kuhusu demokrasia na haki
Nov 23, 2016 04:46Duru ya tano ya mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuhusu Demokrasia, Haki, za Binadamu na Uongozi imeanza hii leo mjini Arusha Tanzania.
-
Tanzania yazima njama ya kuenezwa ushoga na ndoa za watu wenye jinsia moja
Nov 20, 2016 04:43Katika kile kinachoonekana ni nia ya dhati ya kupiga vita na kukabili jitihada za kueneza vitendo vya ushoga nchini Tanzania, serikali imefanikiwa kuidhibiti Asasi ya Kimataifa ya UPR Info, iliyoandaa mpango wa kuwashawishi maofisa wa serikali na wabunge kuunga mkono harakati za ushoga nchini humo.
-
SAUTI, Watanzania: Kuchaguliwa Trump kumebainisha kuwa Wamarekani wote wana ubaguzi mioyoni mwao
Nov 10, 2016 13:14Watanzania walio wengi wameonyesha masikitiko yao kufuatia ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais nchini Marekani kutokana na kile wanachokidai kuwa ni misimamo hasi ya kibaguzi ambayo mara nyingi alikuwa akiitoa katika kipindi chote cha kampeni.