-
Askari wengine wa Ufaransa wauawa na kujeruhiwa nchini Mali
Sep 06, 2020 03:09Wanajeshi wawili wa Ufaransa wameuawa huku mwingine mmoja akijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi huko kaskazini mwa Mali.
-
Safari ya Macron nchini Iraq, jitihada za kutunisha nafasi ya Ufaransa eneo la magharibi mwa Asia
Sep 03, 2020 04:30Katika mwezi mmoja uliopita Ufaransa imezidisha harakati zake za kidiplomasia kupitia safari za rais wa nchi hiyo katika nchi za Lebanon na Iraq katika fremu ya kutaka kukuza na kuzidisha nafasi ya Paris katika matukio ya eneo la magharibi mwa Asia.
-
Pakistan yasikitishwa na Charlie Hebdo kumvunjia tena heshima Mtume SAW
Sep 02, 2020 03:27Pakistan imelaani vikali uamuzi wa jarida linalochapishwa nchini Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
-
Kufanya safari tena Rais wa Ufaransa nchini Lebanon
Sep 01, 2020 06:10Baada ya kupita takriban mwezi mmoja tangu kutokea mlipuko mkubwa katika bandari ya Beirut, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa mara ya pili ameelekea nchini Lebanon.
-
Ufaransa yakaribisha mapatano kati ya Iran na wakala wa IAEA
Aug 28, 2020 03:19Ufaransa imekaribisha uamuzi wa Iran wa kuuruhusu Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kukagua maeneo mawili ya miradi yake ya nyuklia na kusema hiyo ni hatua kuelekea upande sahihi.
-
Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali na kujiuzulu Rais Keita
Aug 20, 2020 03:26Mapinduzi ya kijeshi yalijiri nchini Mali Jumanne ambapo Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu wake, Boubou Cissé walikamatwa na wanajeshi waasi. Masaa machache baada ya kukamatwa, Rais Keita alijitokeza katika televisheni ya taifa na kutangaza kujiuzulu huku akisisitiza hataki kubakia kwake madarakani kuwe chanzo cha umwagikaji damu.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Uingereza: Wahajiri wanakimbia ubaguzi nchini Ufaransa
Aug 17, 2020 03:48Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza amesema kuwa wahajiri wanaingia Uingereza wakitokea Ufaransa wakisema Ufaransa ni nchi ya kibaguzi.
-
Kuongezeka mvutano kati ya Uturuki na Ufaransa mashariki mwa Bahari ya Mediterania
Aug 14, 2020 23:37Umoja wa Ulaya umetoa radiamali hasi kuhusu hatua ya Uturuki ya kutekeleza miradi ya kugundua mafuta na gesi katika maji ya mashariki mwa Bahari ya Mediterania.
-
Erdogan: Safari ya Macron nchini Lebanon ilikuwa na malengo ya kikoloni
Aug 14, 2020 06:32Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ana malengo ya kikoloni nchini Lebanon na kwamba safari yake ya siku chache zilizopita mjini Beirut ilifanyika kwa shabaha ya kutunisha misuli.
-
Onyo la Rouhani kuhusu JCPOA; Ulaya isitumbukie kwenye mtego wa Marekani
Aug 13, 2020 04:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lilopendekezwa na Marekani katika Barazala Usalama la Umoja wa Mataifa linakiuka moja kwa moja azimio nambari 2231 la baraza hilo na hivyo kuzitaka nchi zote na hasa zilizotia saini mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, zilipinge.