-
Uganda yaanza jaribio kubwa zaidi la utoaji chanjo ya Ebola
Aug 06, 2019 09:20Uganda imeanza jaribio kubwa zaidi la utoaji wa chanjo dhidi ya homa hatari ya Ebola kufuatia kuwepo wasiwasi wa kuenea pakubwa maambukizo ya ugonjwa huo kutokea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 12 wauawa katika mashambulio ya wanamgambo wa ADF huko DRC
Jul 23, 2019 10:00Watu 12 wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwemo watoto wawili kufuatia mashambulio ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la ADF la Uganda.
-
Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wao wa kiutamaduni
Jul 06, 2019 21:50Waziri wa Jinsia na Utamaduni wa Uganda amesema nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina hamu ya kuimarisha uhusiano wake wa kiutamaduni na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ebola yaua katika kesi ya kwanza ya ugonjwa huo nchini Uganda
Jun 12, 2019 08:28Kijana aliyekuwa na umri wa miaka mitano ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, hii ikiwa ni kesi ya kwanza ya maradhi hayo hatari kuthibitishwa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Waislamu Uganda kuendelea kushinikiza mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo
Jun 06, 2019 01:48Viongozi wa Kiislamu nchini Uganda wamesisitiza kuwa wataendelea kushinikiza utekelezwaji wa mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo.
-
Waislamu walaumiwa kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao + Sauti
May 27, 2019 11:55Waislamu wa zama hizi wamelaumiwa kwa kumalizana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao halisi. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa kamili.
-
Ripoti: Watu milioni 10 Afrika Mashariki wanavuta bangi, Tanzania yaongoza
May 25, 2019 05:54Utafiti mpya umefichua kuwa, takriban watu milioni 10 katika kanda ya Afrika Mashariki wanavuta bangi kinyume cha sheria, huku Tanzania ikishika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo.
-
Uganda yaongeza tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola + Sauti
May 13, 2019 13:27Nchini Uganda hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola usiingie nchini humo kutokea nchi jirani ya DRC hasa kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumiminika nchini Uganda. Mwandishi wa Radio Tehran ana ripoti zaidi kutoka Kampala.
-
Yoweri Museveni ataka viongozi wa "maisha" watawale Afrika, wapinzani wapinga
May 13, 2019 09:58Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka mataifa ya Afrika yaondoe sheria zinazowazuia viongozi wenye umri mkubwa na waiotawala muda mrefu kuwania urais katika nchi zao. Ametoa mwito huo mwezi mmoja baada ya Mahakama ya Juu nchini Uganda kuunga mkono hatua ya bunge la nchi hiyo ya kuondoa ukomo wa kuwania urais nchini humo, ili kumpa nafasi Museveni ya kuendelea kuwa rais.
-
SAUTI, Rais Museven wa Uganda: Ufisadi wa viongozi wa serikali niliowachagua unanivunja moyo sana, kwani nilitaraji wawe waadilifu
May 10, 2019 12:36Rais Yoweri Museven wa Uganda amesema kuwa, amekatishwa tamaa na mienendo hasi ya viongozi wa serikali aliowachagua ambapo awali alidhani kwamba wangekuwa waadilifu kazini.