-
Rais Museveni aiunga mkono Afrika Kusini kujiondoa ICC
Oct 25, 2016 04:20Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepongeza hatua ya Afrika Kusini kuanzisha mchakato wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Mwito wa Umoja wa Mataifa wa kutolewa misaada zaidi ya kimataifa kwa wakimbizi Afrika
Aug 31, 2016 03:28Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kusaidia kutatua mgogoro wa wakimbizi unaotokana na vita vya ndani nchini Sudan Kusini kwa uzito ule ule ambao wanakabiliana na wimbi la wakimbizi katika nchi za Ulaya.
-
Raia 70,000 wa Sudan Kusini wakimbilia Uganda
Aug 13, 2016 03:25Idadi ya wananchi wa Sudan Kusini waliokimbilia nchini Uganda imepindukia watu 70,000.
-
Besigye amtaka Mkuu wa Polisi Uganda ajiuzulu
Aug 11, 2016 10:00Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amemtaka Mkuu wa Polisi nchini humo ajiuzulu mara moja, kufuatia kesi ya jinai inayomkabili.
-
Uganda yaahidi kuisaidia DRC kupambana na waasi wa ADF
Aug 05, 2016 00:22Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameahidi kuwa serikali yake itaisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kukabiliana na kundi la waasi la ADF-Nalu ambalo limekuwa tishio la muda mrefu la nchi mbili hizo jirani.
-
Askari wa Uganda wapandishwa kizimbani nchini Somalia
Aug 03, 2016 09:34Duru za habari zimeripoti kuwa, askari kadhaa wa Uganda wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya kijeshi ya Uganda nchini Somalia.
-
Waasi wa Uganda washambulia Beni mashariki mwa Kongo, waua watu kadhaa
Jul 31, 2016 11:48Waasi wa Uganda wameshambulia eneo la Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua watu kadhaa na kuwajeruhi wengine.
-
Waislamu wa Uganda wamtaka Museveni aunde Wizara ya Masuala ya Waislamu
Jul 29, 2016 03:39Waislamu nchini Uganda wameitaka serikali ya Rais Yoweri Kaguta Museveni wa nchi hiyo iunde wizara maalumu ya kushughulikia masuala ya Waislamu.
-
Ripoti: Uganda yaongoza kwa visa vya uhalifu Afrika Mashariki
Jul 26, 2016 12:25Utafiti mpya umefichua kuwa, Uganda ndiyo inayoongoza kwa visa vya uhalifu wa kutumia silaha za moto katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Uganda: Hatubabaishwi na matamshi ya vitisho ya Marekani
Jul 24, 2016 03:37Katika kile kinaachoonekana ni kuzidi kuingia doa uhusiano wa Uganda na Marekani, Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki amesema serikali ya Kampala haibabaishwi na matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Washington.