-
Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Uganda
Jul 23, 2016 02:48Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetangaza kuwa, maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia katika nchi jirani ya Uganda.
-
Jeshi la Uganda: Tumefanikiwa kuwaondoa raia elfu 38 kutoka Sudan Kusini
Jul 21, 2016 00:02Jeshi la Uganda limetangaza kuwa, limefanikiwa kuwaondoa raia 38 elfu wa nchi kadhaa kutoka Sudan Kusini kutokana na machafuko yanayoendelea ndani ya nchi hiyo.
-
Rais wa Uganda apinga vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan Kusini
Jul 18, 2016 09:37Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepinga mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuiwekea Sudan Kusini vikwazo vya silaha na kusema hatua hiyo italidhoofisha jeshi la nchi hiyo ambalo linakabiliana machafuko mapya.
-
Jeshi la Uganda laanza kuondoa raia wake Sudan Kusini
Jul 14, 2016 11:23Msafara wa magari ya jeshi la Uganda umeingia Sudan Kusini na kuanza kuwaondoa maelfu ya raia wa nchi hiyo waliokwama mjini Juba kutokana na mapigano mapya yaliyoikumba nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Raia wa Uganda wazuiwa kutembelea Sudan Kusini
Jul 11, 2016 23:16Jeshi la polisi la Uganda jana liliwapiga marufuku raia wa nchi hiyo kutembelea Sudan Kusini baada ya kuzuka mapigano mapya katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba na kupelekea watu wasiopungua 300 kuuawa.
-
Mbunge Uganda ataka katiba ibadilishwe ili Museveni aendelee kutawala
Jul 08, 2016 09:03Kuna uwezekano Rais Yoweri Museveni wa Uganda akaendelea kutawala hata baada ya muhula wake kumalizika kisheria baada mbunge mmoja kupendekeza katiba ibadilishwe ili kuondoa kizingiti cha umri ambacho kinamzuia Museveni kugombea tena urais.
-
Wanajeshi wa Uganda watuhumiwa kutumia mabavu dhidi ya raia CAR
Jul 06, 2016 09:34Msemaji wa Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa amewatuhumu wanajeshi wa Uganda walioko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwamba, wamekuwa wakitumia mabavu dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Wanachuo wa Kiislamu wa Uganda watakiwa kuwa na umoja
Jul 06, 2016 02:19Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Uganda lililosimamiwa na ofisi ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lilimaliza kazi zake jana mjini Kampaka kwa kusisitiza udharura wa kuimarishwa umoja baina ya Waislamu.
-
Uganda, Sudan Kusini kupambana na wizi wa mifugo
Jul 04, 2016 03:22Serikali za Uganda na Sudan Kusini zimeafikiana kupambana na wizi wa mifugo na haswa ng'ombe unaofanyika mara kwa mara katika vijiji vilivyoko mpakani mwa nchi mbili hizo.
-
Rais Museveni: Waasi wa ADF ndio wanaowaua Wanazuoni wa Kiislamu
Jul 01, 2016 03:26Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kundi la waasi la ADF-Nalu, linaloendeleza harakati zake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndilo limehusika na mauaji ya hivi karibuni ya viongozi na wasomi wa Kiislamu nchini Uganda.