-
Balozi wa Uingereza aliyehudumu nchi kadhaa za Kiarabu asilimu na kufanya Hija
Sep 14, 2016 11:28Simon Collis, balozi wa Uingereza nchini Saudi Arabia ambaye amehudumu katika nchi kadhaa za Kiarabu, amekuwa balozi wa kwanza wa nchi hiyo kufanya Hija baada ya kusilimu.
-
Vifo vya wanaotumia madawa ya kulevya Uingereza vyavunja rekodi
Sep 11, 2016 00:04Takwimu mpya na rasmi zilizotolewa nchini Uingereza zinaonyesha kuwa, idadi ya watu wanaopoteza maisha nchini humo kutokana na kutumia madawa ya kulevya imeongezeka mno na haijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Uingereza inauza theluthi mbili ya silaha katika eneo la Mashariki ya Kati
Sep 05, 2016 22:36Gazeti moja la nchini Uingereza limeandika kuwa theluthi mbili ya silaha zinazoundwa nchini humo huuzwa katika nchi za eneo la Mashariki ya Kati.
-
Watoto wakimbizi 360 watoweka wakiwa Uingereza
Sep 04, 2016 23:54Mamia ya watoto wakimbizi wametoweka baada ya kuwasili Uingereza huku kukiwa na wasiwasi kuwa baadhi wanadhalilishwa kingono na wengine wakiwa katika utumwa mamboleo.
-
Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab
Aug 25, 2016 03:04Polisi ya Scotland Yard ya nchini Uingereza imepasisha vazi la staha ya mwanamke wa Kiislamu, Hijabu kama njia ya kuwavutia Waislamu kujiunga na jeshi hilo.
-
Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab
Aug 24, 2016 23:49Polisi ya Scotland Yard ya nchini Uingereza imepasisha vazi la staha ya mwanamke wa Kiislamu, Hijabu kama njia ya kuwavutia Waislamu kujiunga na jeshi hilo.
-
TUC: Nusu ya wanawake Uingereza wananyanyaswa kingono makazini
Aug 10, 2016 09:53Uchunguzi uliofanywa na shirika moja linalojulikana kwa jina la Trades Union Congress TUC kwa kifupi unaonesha kuwa, nusu ya wanawake nchini Uingereza wamekuwa wakinyanyaswa kingono katika maeneo yao ya kazi.
-
Uingereza kukabiliana na ubaguzi na jinai dhidi ya dini za walio wachache
Jul 24, 2016 23:53Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa itazidisha hatua zake za kukabiliana na vitendo vya kibaguzi na chuki dhidi ya wafuasi wa dini za walio wachache.
-
Matamshi ya afisa jeshi wa Libya kuhusu kuweko nchini vikosi ajinabi
Jul 23, 2016 02:32Kamanda wa kikosi cha anga cha jeshi la Libya amesema kuwa wanajeshi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa wapo Libya kwa ajili tu ya kudhibiti harakati za kundi la kigaidi la Daesh.
-
Uingereza yakiri kuwa Saudia inatenda jinai za kutisha Yemen
Jul 22, 2016 10:22Katika hatua isiyo ya kawaida na ambayo haikutarajiwa na wengi, Uingereza imekiri kuwa yumkini muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika hujuma za anga dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Yemen umekiuka sheria za kibinadamu.