-
Sala ya Idul Fitr yafutwa Uingereza kwa kuhofia hujuma ya wenye misimamo mikali
Jul 02, 2016 23:05Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.
-
Chuki dhidi ya wahajiri Uingereza zaongezeka baada ya Brexit
Jul 01, 2016 03:39Chuki dhidi ya wahajiri nchini Uingereza zimeongezeka kwa asilimia 500, siku chache baada ya nchi hiyo kupiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit.
-
Hujuma dhidi ya Uislamu zaongezeka Uingereza baada ya Brexit
Jun 28, 2016 23:56Waislamu wa Uingereza wanakabiliwa na wimbi kubwa la hujuma zinazotokana na chuki baada ya kutangazwa matokeo ya kura ya maoni ya kujiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit).
-
Bunge la Ulaya: Uingereza ianze mchakato wa kuondoka EU
Jun 26, 2016 23:59Spika kwa Bunge la Ulaya ametaka kuanza mchakato wa kuondoka Uingereza katika Umoja wa Ulaya.
-
Uingereza yapiga kura kujiondoa Umoja wa Ulaya, EU
Jun 23, 2016 22:28Matokeo yasiyo rasmi ya kura ya maoni iliyopigwa hapo jana kuhusu Uingereza kujitoa au kubakia ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) yanaonyesha kuwa Waingereza wataondoka EU.
-
Radiamali ya Iran kufuatia kutangazwa matokeo ya kura ya maoni ya Uingereza
Jun 25, 2016 01:57Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoao taarifa kuhusu matokeo ya kura ya maoni iliyofanyika nchini Uingereza kuhusu kujiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya.
-
Cameron ajiuzulu kama Waziri Mkuu baada ya Uingereza kujiondoa EU
Jun 24, 2016 03:53Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amejiuzulu baada ya Waingereza kupiga kura ya kujiondoa katika Umoja wa Ulaya.
-
Bahrain kumvua uraia Sheikh Qassim kunaiweka US na UK njia panda
Jun 23, 2016 03:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia msomi mashuhuri wa Kiislamu, Ayatullah Sheikh Isa Qassim na kusema kuwa kitendo hicho kimeziweka Marekani na Uingereza katika njia panda.
-
Mwangwi wa mauaji ya mbunge wa Uingereza
Jun 18, 2016 02:00Mauaji ya Jo Cox, mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza yamezusha malalamiko makubwa ndani na nje ya nchi hiyo na kulitia wahka na hofu kubwa bunge hilo.
-
Mbunge wa Uingereza afariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi
Jun 16, 2016 23:57Mbunge wa Uingereza Jo Cox amefariki dunia kutokana na majeraha aliyopata baada ya kupigwa risasi jana.