Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uislamu

  • Kiongozi Muadhamu: Ulimwengu wa ukafiri umekusudia kuufuta utambulisho wa Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu: Ulimwengu wa ukafiri umekusudia kuufuta utambulisho wa Kiislamu

    Apr 27, 2017 11:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa kuufahamu na kuufanyia kazi usuli wa Qur'ani wa "Kumwamini Mwenyezi Mungu na kumpinga Shetani" kutaupa izza na heshima umma wa Kiislamu na akaongezea kwa kusema hii leo ulimwengu wa ukafiri umekusudia kufuta utambulisho wa Kiislamu katika kila pembe ya dunia.

  • Hizbullah: Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni mhuishaji halisi wa Uislamu

    Hizbullah: Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni mhuishaji halisi wa Uislamu

    Apr 04, 2017 23:39

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kiongozi wa kipekee katika zama hizi na mhuishaji halisi wa Uislamu kifikra na kivitendo.

  • Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani apinga vikali suala la kunasibishwa Uislamu na ugaidi

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani apinga vikali suala la kunasibishwa Uislamu na ugaidi

    Feb 19, 2017 10:48

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amekosoa vikali propaganda chafu na hasi zinazofanywa dhidi ya Uislamu pamoja na dini nyingine.

  • Siku ya Hijabu ya Waridi yaadhimishwa nchini Tanzania

    Siku ya Hijabu ya Waridi yaadhimishwa nchini Tanzania

    Feb 04, 2017 13:28

    Sherehe ya kuadhimisha Siku ya Hijabu ya Waridi imefanyika leo mjini Dar es Salaam, Tanzania kwa ushirikiano wa ofisi ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Morocco yaanza kutekeleza mfumo wa Benki za Kiislamu

    Morocco yaanza kutekeleza mfumo wa Benki za Kiislamu

    Jan 05, 2017 01:04

    Serikali ya Morocco imejiunga na mfumo wa Benki za Kiislamu kwa kuanzisha benki tano za Kiislamu nchini humo.

  • SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa

    SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa

    Jan 01, 2017 02:51

    Wiki hii, Waislamu wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wameshtushwa na kulaani vikali kutukanwa Bwana Mtume Muhamma SAW visiwani humo.

  • Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu

    Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu

    Dec 23, 2016 12:54

    Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema harakati za magenge ya kigaidi na kitakfiri yanayofanya jinai za kutisha eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika hazina mafungamano yoyote na Uislamu na shakhsia wake mbora na mtukufu, Bwana Mtume Muhammad SAW.

  • Hujuma dhidi ya Uislamu yashika kasi nchini Uingereza

    Hujuma dhidi ya Uislamu yashika kasi nchini Uingereza

    Dec 21, 2016 01:01

    Wimbi na hujuma na propaganda chafu dhidi ya Uislamu limeshika kasi zaidi na kulitia wasiwasi Baraza la Waislamu nchini Uingereza.

  • Mwislamu mwingine auawa Marekani kutokana na chuki za kidini

    Mwislamu mwingine auawa Marekani kutokana na chuki za kidini

    Dec 12, 2016 04:43

    Habari kutoka jimbo la California nchini Marekani zinasema kuwa raia mmoja wa nchi hiyo wa dini ya Kiislamu ameuawa nje ya msikiti katika tukio jingine linalodhihirisha chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.

  • Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke

    Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke

    Nov 16, 2016 04:25

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu imempa heshima kubwa sana mwanamke na kutukuza nafasi yake muhimu katika jamii.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS