Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulimwengu wa Michezo

  • Mwanasoka wa kwanza aliyevalia Hijabu ashiriki katika Kombe la Dunia la Wanawake

    Mwanasoka wa kwanza aliyevalia Hijabu ashiriki katika Kombe la Dunia la Wanawake

    Jul 25, 2023 08:54

    Nouhaila Benzina amekua mwanasoka wa kwanza wa kike aliyevalia Hijabu kushiriki katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake alipocheza mechi ya kwanza ya timu ya Morocco dhidi ya Ujerumani.

  • Ufaransa yapiga marufuku hijabu katika mashindano ya soka

    Ufaransa yapiga marufuku hijabu katika mashindano ya soka

    Jun 30, 2023 07:39

    Mahakama Kuu ya Utawala nchini Ufaransa imetoa kibali kwa Shirikisho la Soka la nchi hiyo cha kupiga marufuku vazi la hijabu katika mashindano ya soka ya wanawake.

  • Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023

    Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023

    Jun 12, 2023 08:20

    Klabu ya Al-Ahly ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Mafarao hao wa Misri wametwaa kombe hilo la kibara, licha ya mchuano wa fainali kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

  • Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya

    Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya

    May 26, 2023 01:48

    Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.

  • Viongozi wa nchi, nyota wa soka walaani ubaguzi wa rangi aliofanyiwa Vinícius Júnior Uhispania

    Viongozi wa nchi, nyota wa soka walaani ubaguzi wa rangi aliofanyiwa Vinícius Júnior Uhispania

    May 23, 2023 13:06

    Matusi ya ubaguzi wa rangi yaliyotolewa dhidi ya mwanasoka wa Brazil Vinícius Júnior katika ligi ya soka ya Uhispania yamekosolewa na kulaaniwa vikali na viongozi wa nchi, makocha na nyota mbalimbali wa mchezo huo unaopendwa zaidi duniani kote.

  • Manchester City yaigaragaza Real Madrid na kupiga hodi fainali Klabu Bingwa Ulaya

    Manchester City yaigaragaza Real Madrid na kupiga hodi fainali Klabu Bingwa Ulaya

    May 18, 2023 11:02

    Timu ya soka ya Manchester City ya Uingerezi imefanya vyema kwa kiwango cha hali ya juu na kuwazidi nguvu mabingwa Real Madrid ya Uhispania katika mchezo wa marudio wa nusu ya Klabu Bingwa barani Ulaya.

  • Yanga yapaisha soka la Tanzania Afrika baada ya kutinga fainali

    Yanga yapaisha soka la Tanzania Afrika baada ya kutinga fainali

    May 18, 2023 10:34

    Baada ya miongo mitatu, klabu ya Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya mashindano makubwa ya vilabu barani Afrika.

  • Sadio Mane akabiliwa na adhabu baada ya kumtandika ngumi mchezaji mwenzake

    Sadio Mane akabiliwa na adhabu baada ya kumtandika ngumi mchezaji mwenzake

    Apr 13, 2023 16:00

    Bayern Munich imemsimamisha mshambuliaji Sadio Mane raia wa Senegal baada ya kumpiga usoni mchezaji mwenza Leroy Sane kufuatia kichapo cha Jumanne cha Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City.

  • Watu wenye silaha watishia kumuua nyota wa soka duniani Lionel Messi

    Watu wenye silaha watishia kumuua nyota wa soka duniani Lionel Messi

    Mar 03, 2023 07:01

    Watu wawili wenye silaha wamefyatua risasi zisizopungua kumi na kuacha ujumbe wa vitisho kwa nyota wa soka wa Argentina Lionel Messi katika uvamizi wa duka kubwa linalomilikiwa na wakwe zake mjini Rosario, Argentina. Maafisa wa vyombo vya mahakama wa mji huo wamelielezea tukio hilo lililotokea Alkhamisi asubuhi kuwa ni la kigaidi.

  • Mwanasoka wa Ghana ni miongoni mwa waliofariki katika mitetemeko ya ardhi Uturuki

    Mwanasoka wa Ghana ni miongoni mwa waliofariki katika mitetemeko ya ardhi Uturuki

    Feb 19, 2023 06:30

    Mwanasoka mashuhuri wa Ghana Christian Atsu ni miongoni mwa makumi ya maelfu ya watu waliofariki kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi nchini Uturuki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS