-
Kiongozi: 'Wahalifu' Marekani na Israel ni maadui wa Waislamu wote, si wa Iran peke yake
Aug 30, 2026 12:24Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema, watawala wahalifu na watenda jinai wa Marekani na wa utawala wa Kizayuni si maadui wa taifa la Iran peke yake, bali ni maadui pia wa Umma mzima wa Kiislamu.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Tehran
Aug 27, 2026 12:02Mkutano wa 40 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza mjini Tehran, ukijikita zaidi kwenye maono ya Kiongozi marehemu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Shahidi Sayyid Ali Khamenei kuhusu kuimarisha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Qur’ani yahimiza mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Aug 21, 2026 10:29Imamu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran, Hujjat al-Islam wal-Muslimin Muhammad-Hassan Abutorabi-Fard, amesema Wiki ya Umoja na sherehe za kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) hutoa fursa muhimu ya kutafakari ujumbe wa Qur’ani Tukufu kuhusu umoja na mshikamano wa jamii ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)
Sep 21, 2024 09:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
-
Kashif Asrar: Umoja wa Kiislamu ni nembo ya mshikamano wa Waislamu
Sep 30, 2023 12:16Mwanazuoni wa madhehebu ya Suni nchini Ghana amesema kuwa, umoja wa Kiislamu chini ya uongozi wa Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, unastahiki sifa na ni nembo ya mshikamano wa Waislamu.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu: Iran imejenga matumaini katika nyoyo za Waislamu
Sep 27, 2023 23:31Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema: Makubaliano ya kieneo na ya kimataifa yaliyoundwa duniani chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameibua matumaini katika nyoyo za Waislamu duniani.
-
Ayatullah Khatami: Maadui wanataka kudhoofisha umoja wa Waislamu
Jul 08, 2022 06:32Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran amesema maadui wanafanya juu chini kupunguza na kudhoofisha umoja wa umma wa Kiislamu kwa kutumia mbinu mbalimbali.
-
Wiki ya Umoja na vizingiti vinavyozuia kupatikana umoja wa nchi za Kiislamu
Oct 25, 2021 23:00Tarehe 12 hadi 17 Rabiul Awwal sawa na tarehe 19 hadi 24 Oktoba zimetengwa na kutangazwa rasmi kuwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Jumapili ya juzi ndiyo iliyokuwa siku ya mwisho ya wiki hiyo muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
"Kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu ni hatua ya kistratajia"
Oct 19, 2021 10:09Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Tehran
Oct 29, 2020 08:40Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza kufanyika mjini Tehran ukihudhuriwa na shakhsia 167 wa ulimwengu wa Kiislamu.