Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UNDP yatahadharisha kuhusu usawa wa kijinsia Afrika

    UNDP yatahadharisha kuhusu usawa wa kijinsia Afrika

    Aug 28, 2016 23:34

    Umoja wa Mataifa umezitolea wito nchi za Kiafrika kufanya jitihada za kujaza pengo la usawa wa kijinsia katika nchi hizo pengo ambalo kila mwaka husababisha hasara ya dola bilioni 95 kwa nguvu za kiuchumi.

  • WFP: Watu milioni 4.5 wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria

    WFP: Watu milioni 4.5 wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Aug 24, 2016 10:21

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa tangu mwezi Machi mwaka huu hadi sasa, idadi ya watu wanaohitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka maradufu na kufikia milioni 4.5.

  • Serikali ya Libya yapigiwa kura ya kutokuwa na imani nayo

    Serikali ya Libya yapigiwa kura ya kutokuwa na imani nayo

    Aug 22, 2016 23:40

    Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imepata pigo kubwa baada ya wabunge katika bunge la nchi hiyo linalotambuliwa kimataifa kuikataa.

  • Ethiopia yatakiwa iruhusu uchunguzi huru kuhusiana na tuhuma za ukiukaji haki za binadamu Oromia

    Ethiopia yatakiwa iruhusu uchunguzi huru kuhusiana na tuhuma za ukiukaji haki za binadamu Oromia

    Aug 20, 2016 03:31

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Ethiopia itoe fursa kwa waangalizi huru kutembelea maeneo ya Oromia na Amhara kufuatia tuhuma za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeripotiwa kufanywa na vyombo vya usalama katika maeneo hayo.

  • Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata

    Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata

    Aug 18, 2016 09:31

    Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa shakhsia na viongozi wa kwanza wa dunia kumpongeza Edgar Lungu kwa kushinda uchaguzi wa rais uliogubikwa na utata na ambao upinzani umeelekea mahakamani kupinga matokeo yake.

  • UN yazitaka India na Pakistan ziruhusu uchunguzi Kashmir

    UN yazitaka India na Pakistan ziruhusu uchunguzi Kashmir

    Aug 17, 2016 23:09

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko ya umoja huo baada ya serikali za Pakistana na India kukataa kuwapa kibali maofisa wa UN kulitembelea eneo lenye mzozo la Kashmir, katika mpaka wa nchi mbili hizo.

  • UN yaitaka Bahrain ikomeshe ukandamizaji dhidi ya Mashia

    UN yaitaka Bahrain ikomeshe ukandamizaji dhidi ya Mashia

    Aug 16, 2016 10:53

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameutaka utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain uache kuwakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia na kusisitiza kuwa dhulma hizo ni ukiukaji wa haki za msingi za binadamu.

  • Mamluki wa kundi lenye silaha watiwa mbaroni CAR

    Mamluki wa kundi lenye silaha watiwa mbaroni CAR

    Aug 14, 2016 23:13

    Askari jeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliopo Jamhuri ya Afrika ya Kati wametangaza kutiwa mbaroni mamluki kadhaa wa kundi moja lenye silaha nchini humo.

  • Maandamano yashadidi nchini Ethiopia, Umoja wa Mataifa wataka kutumwa waangalizi wa kimataifa

    Maandamano yashadidi nchini Ethiopia, Umoja wa Mataifa wataka kutumwa waangalizi wa kimataifa

    Aug 11, 2016 03:36

    Maandamano dhidi ya serikali ya Ethiopia yanazidi kushadidi huku serikali ya nchi hiyo ikitumia vyombo vya usalama kuwakandamiza waandamanaji.

  • Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza

    Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza

    Aug 09, 2016 23:13

    Utawala wa Kizayuni umemtia mbaroni mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS