-
UN: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria, Wazayuni wanaikalia kwa mabavu
Dec 24, 2018 04:29Kwa mara nyingine tena, Baraza Kuu la Umoja wa Maraifa limepasisha kwa wingi wa kura azimio linalosisitiza kuwa, milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel ni ardhi isiyotenganishika na ardhi nyingine za Syria.
-
Bashar al Jaafari: Jamii ya kimataifa iisaidie Damascus kutokomeza ugaidi
Dec 21, 2018 04:48Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ameitolea wito jamii ya kimataifa kusaidia kukomesha mashambulizi ya kigaidi nchini kwake.
-
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio dhidi ya Marekani
Dec 21, 2018 01:08Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linaloitaka Marekani kukomesha hatua zilizo kinyume na sheria dhidi ya wawakilishi na maeneo ya kidiplomasia ya Russia nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa: Waislamu 15,000 Warohingya wamekimbia Myanmar hivi karibuni
Dec 19, 2018 11:43Nyaraka zilizotolewa na Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa, Waislamu 15,000 wa jamii ya Rohingya wamekimbia kutoka Myanmar katika siku za hivi karibuni.
-
UN yalaani kukandamizwa wapinzani Kongo DR kuelekea uchaguzi mkuu
Dec 14, 2018 12:34Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali ukandamizaji, mbinyo na unyanyasaji unaofanywa na maafisa usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya wapinzani, siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu.
-
Umoja wa Mataifa: Jamii ya kimataifa ina wajibu wa kulinda JCPOA
Dec 12, 2018 03:00Kwa mara nyingine tena Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanapaswa kulindwa na wadau wote katika eneo na jamii ya kimataifa.
-
Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura
Dec 06, 2018 11:24Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifunge ofisi yake iliyoko katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura katika kipindi cha miezi miwili ijayo.
-
UN: Magaidi wa Daesh wanawachinja raia wa Syria, Deir ez-Zor
Dec 05, 2018 23:15Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa indhari juu ya kuendelea kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Syria, na kushtadi mauaji ya raia yanayofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN: Wapalestina wanaendelea kuuawa, kuteseka
Nov 29, 2018 08:44Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji na mateso ya Wapalestina sasa vimekuwa jambo la kawaida la kila siku lakini inasikitisha kuona kuwa, baadhi ya vyombo vya habari vimepuuza suala hilo.
-
UN yaipongeza Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi
Nov 21, 2018 04:20Umoja wa Mataifa umezipongeza serikali za Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi katika shule za taifa na kuwafanya wawe na utangamano.