-
Answarullah: Wasaudia na Marekani watazame upya mahesabu yao kuhusu Yemen
Mar 30, 2018 23:54Mkuu wa Baraza Kuu la Mapinduzi nchini Yemen, Mohammed Ali al-Houthi amegusia nguvu za muqawama wa wananchi wa Yemen dhidi ya jinai za wavamizi na kumtaka Mohammad Bin Salman na nchi washiriki katika muungano vamizi pamoja na Marekani, kuangalia upya mahesabu yao kuhusu nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kikosi cha MONUSCO chaongezewa muda wa kuhudumu DRC
Mar 28, 2018 02:47Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekiongezea muda wa kuhudumu kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO.
-
UN yaitahadharisha EU kuhusu mgogoro mpya wa wakimbizi kutoka Afrika
Mar 26, 2018 10:49Umoja wa Mataifa umezitahadharisha nchi za Umoja wa Ulaya kuhusu mgogoro mpya wa wakimbizi kutoka Afrika.
-
Syria yataka askari vamizi wa Uturuki kuondoka mara moja eneo la Afrin
Mar 20, 2018 00:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo, ikilalamikia uvamizi na jinai za jeshi la Uturuki dhidi ya mji wake wa Afrin na wakazi wake.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusaidiwa wakimbizi Waislamu Warohingya
Mar 17, 2018 04:29Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukusanywa misaada kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi takribani milioni moja wa jamii ya Rohingya wa Myanmar ambao wako katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh sambamba na kuandaliwa mazingira ya Waislamu hao kurejea nchini kwao.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar
Mar 14, 2018 10:51Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia maangamizi ya kizazi ametahadharisha kuwa serikali ya Myanmar inataka kutekeleza mauaji mengine ya kizazi dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.
-
UN: Haki za binadamu zinakanyagwa katika nchi nyingi duniani
Mar 08, 2018 04:47Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, haki za binadamu zinatishiwa au kukanyagwa katika zaidi ya nchi 50 kote duniani.
-
UN: Tuna wasi wasi mauaji ya kimbari yamefanyika Myanmar
Mar 07, 2018 22:11Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza juu ya wasi wasi mkubwa alionao kwamba yumkini mauaji ya kimbari yamefanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar tangu Agosti mwaka jana 2017.
-
UN yakosoa ukandamizaji Misri kuelekea uchaguzi wa rais
Mar 07, 2018 22:10Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa mazingira ya vitisho, ukandamizaji na kuwekewa mbinyo wanasiasa wa upinzani nchini Misri kuelekea uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu.
-
UN yasema mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya yanaendelea Myanmar
Mar 06, 2018 04:28Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.