-
ICC yaanza kusikiliza kesi ya gaidi mtenda jinai kutoka Mali
Jul 15, 2020 02:37Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai imeanza kusikiliza kesi ya gaidi raia wa Mali ambaye anakabiliwa na tuhuma za kutenda jinai ya kubomoa maziyara matakatifu katika mji wa kale wa nchi hiyo, Timbuktu.
-
Ayatullah Makarim Shirazi: Mwisho wa uhai wa Uwahabi unakaribia
Dec 20, 2019 01:09Ayatullah Nasir Makarim Shirazi mmoja wa Marja wakuu taqlidi katika mji mtakatifu wa Qum hapa nchini amesema kuwa Matakfiri wangeshatokomea kitambo kama kusingekuwepo na dola za mafuta na uungaji mkono wa Marekani kwa matakfiri hao.
-
Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi
May 12, 2019 14:55Wakuu wa Sri Lanka wamemkamata mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma nchini Saudi Arabia baada ya kushukiwa kuwa na mfungamano na magaidi waliotekeleza hujuma za kigaidi zilizoua mamia ya watu nchini humo mwezi jana.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Daesh (ISIS) ni zao la Saudia na fikra ya Uwahabi
Apr 22, 2019 17:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni zao la Saudi Arabia na fikra za Uwahabi na amesisitiza kwamba makundi mengi ya kigaidi yanapata mikopo ya fedha kutoka taasisi mbalimbali za kidini nchini Saudia na kutumia fikra hizo hizo za Uwahabi kufanya mauaji na jinai dhidi ya mataifa ya Waislamu.
-
Uwahabi; chanzo cha umwagikaji damu katika Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 22, 2019 12:23Meja Jenerali Qassim Suleimani, Kamanda MKuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH, amesema kwamba magaidi wa kitakfiri wanaoungwa mkono na Saudi Arabia katika ardhi ya Pakistan wamekuwa tatizo kubwa la usalama kwa majirani wote wa nchi hiyo, zikiwemo India na Afghanistan na kwamba viongozi wa Pakistan wanapasa kulitambua vyema jambo hilo.
-
Saudi Arabia katika faharasa ya Umoja wa Ulaya ya waungaji mkono wa ugaidi
Jan 27, 2019 02:35Saudi Arabia ikiwa kitovu kikuu cha itikadi za Kiwahabi kwenye miaka ya hivi karibuni imekuwa na nafasi kuu na athirifu katika kutoa uungaji mkono wa hali na mali na wa pande zote kwa ugaidi hususan kwa magenge ya kigaidi ya wakufurishaji kwenye eneo la Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani.
-
Kukiri Saudi Arabia nafasi ya Marekani katika kuenea Uwahabi
Mar 28, 2018 02:33Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia amekiri katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la Washington Post kwamba, nchi yake imejikita zaidi katika kueneza Uwahabi ulimwenguni kwa takwa la Marekani na kwa ajili ya kukabiliana na kambi ya Mashariki katika kipindi cha Vita Laini vya 1947-1991.
-
Maafisa wa Saudia waliwasaidia magaidi wa ISIS huko Mosul, Iraq
Jul 14, 2017 08:03Saudi Arabia ilituma maafisa wake wa kijasusi na kijeshi kujiunga na magaidi wa ISIS au Daesh Mosul wakati wa oparesheni ya jeshi la Iraq ya kuukomboa mji huo.
-
Waislamu Marekani wakumbuka uhalifu wa mawahabi wa kubomoa makaburi ya Maswahaba
Jul 04, 2017 15:42Waislamu katika maeneo mbalimbali wamekusanyika wakikumbuka kitendo kiuvu cha kubomolewa makaburi ya Jannat al-Baqi'i mjini Madina kilichofanywa na mawahabi wa Saudi Arabia miongo kadhaa iliyopita.
-
Kiongozi wa upinzani Uingereza aituhumu Saudia kwa kuunga mkono ugaidi
Jun 05, 2017 06:50Kiongozi wa upinzani nchini Uingereza, Jeremy Corbyn amesema, wakati sasa umewadia kwa nchi yake kufanya 'mazungumzo magumu' na Saudia Arabia na madola mengine ya Kiarabu ambayo yanaunga mkono magaidi.