-
Nafasi ya kipekee ya Saudia katika kuenea fikra za Kiwahabi duniani
Jun 02, 2017 13:30Abdul Malik al Houthi, Katibu Mkuu wa harakati ya Answarullah ya Yemen ametangaza kuwa, nchi ambayo hivi sasa inaongoza fikra za Kiwahabi na kuzieneza katika nchi mbalimbali duniani, ni Saudi Arabia.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Fikra za Uwahabi za Saudia ndizo zinazoeneza ugaidi duniani
Jun 01, 2017 07:28Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa vikali misimamo ya Saudi Arabia na mkatakati wake wa kueneza fikra za Uwahabi na kubainisha kwamba, matukio ya kigaidi yanayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali duniani chimbuko lake ni fikra za Kiuwahabi za Saudia.
-
Wasiwasi wa kuenea fikra za Uwahabi wa Saudia barani Ulaya
Feb 10, 2017 07:58Serikali ya Ubelgiji imeonyesha wasi wasi wake juu ya kuenea mafundisho ya Uwahabi unaoungwa mkono na utawala wa Saudi Arabia ndani ya nchi hiyo na mataifa mengine ya Ulaya.
-
Ubelgiji: Saudia inaeneza fikra za Uwahabi barani Ulaya
Feb 09, 2017 07:18Ubelgiji imeeleza wasi wasi wake juu ya kuenea kwa kasi mwangwi wa Uwahabi katika nchi hiyo na kote bara Ulaya kwa ujumla.
-
Watunisia wakataa fikra za Kiwahabi
Dec 28, 2016 07:41Wananchi wa Tunisia hususan tabala la wasomi na wanafikra wa nchi hiyo wamekataa kupokea fikra za kiwahabi licha ya Saudi Arabia kutumia fedha na wakati mwingi kueneza na kusambaza fikra na mitazamo ya kisalafi na kiwahabi katia nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Firouzabadi: Uwahabi; adui wa umoja wa nchi za Kiislamu
Dec 25, 2016 03:51Mshauri Mkuu wa kijeshi wa Amirijeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwahabi ambao matunda yake ni makundi ya kigaidi kama vile Daesh na al Qaida, ni maadui wa umoja na uhuru wa nchi za Kiislamu.
-
Al Maliki: Uwahabi uwekwe kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Nov 27, 2016 05:41Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq ametoa wito wa kuwekwa kundi la Kiwahabi katika orodha ya makundi ya kigaidi duniani.
-
Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini
Nov 04, 2016 15:50Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.
-
Waziri apigwa kalamu nyekundu Tunisia kwa kukosoa Uwahabi
Nov 04, 2016 15:50Serikali ya Tunisia imemfuta kazi Waziri wa Masuala ya Dini wa nchi hiyo, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahabi ambayo imetawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
-
Mufti wa Saudia aharamisha Maulid ya Mtume SAW, asema sherehe za ukoo wa Aal Saud ni wajibu
Sep 28, 2016 02:43Mufti katika kasri ya mfalme wa Saudia amesema kusherehekea Maulid ya Mtume Muhammad SAW ni shirki lakini akasema ni wajibu kusherehekea maadhimisho ya kuanza kutawala ukoo wa Aal Saud.