-
Sisitizo jipya la Umoja wa Ulaya juu ya kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jul 04, 2018 02:53Maya Kuchiánchik, Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitizia azma ya Brussels kwa ajili ya kutekeleza kikamilifu na kwa namna chanya, makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Kuendelea vikwazo; kilele cha uadui wa Marekani dhidi ya Iran
May 31, 2018 20:22Vikwazo vipya vimetangazwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran
May 29, 2018 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema kuwa, nchi yake haitofuata maagizo ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
UN yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini
May 27, 2018 09:17Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kumuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini, Kuol Manyang Juk kutokana na kile lilichodai kuwa ni kitendo cha afisa huyo wa Juba kukiuka makubaliano ya usitishaji vita.
-
IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia
May 26, 2018 03:13Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani IMF amemuasa Rais Donald Trump wa Marekani kuangalia upya sera zake za kushadidisha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.
-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya viongozi wa Hizbullah ya Lebanon
May 17, 2018 22:08Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya, mara hii ikiwa ni dhidi ya viongozi waandamizi wa Hizbullah ya Lebanon akiwemo Katibu Mkuu wake Sayyid Hassan Nasrullah na naibu wake Sheikh Naeem Qassim.
-
Kususiwa sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds
May 13, 2018 06:05Zaidi ya nusu ya viongozi wa kigeni walioalikwa kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds, wamekataa kushiriki sherehe hizo.
-
Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
May 12, 2018 07:55Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.
-
Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani
May 12, 2018 02:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa tamko kali la kujibu vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake na kusema kuwa, vikwazo hivyo vya serikali ya Donald Trump dhidi ya Moscow vinatokana na hamaki za Washington za kushindwa mashambulizi yake ya tarehe 14 Aprili nchini Syria.
-
Muhammad Javad Zarif: Serikali ya Marekanin imefilisika kimaadili
Apr 13, 2018 23:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa njama za Marekani za kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kusema kuwa, serikali ya Washington imefilisika kimaadili.