-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Dec 30, 2016 11:52Serikali ya Marekani imewafukuza wanadiplomasia 35 wa Russia na kuzidisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kisingizio kwamba Moscow iliingilia zoezi la uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Serikali ya Marekani yawafukuza wanadiplomasia wa Russia
Dec 30, 2016 00:17Serikali ya Marekani imewafukuza nchini humo wanadiplomasia wa Russia kitendo ambacho kimeufanya uhusiano wa nchi mbili hizo kuingia katika hatua nyingine.
-
Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini
Dec 23, 2016 23:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini, ambayo inashuhudia mapigano kwa mwaka wa nne sasa.
-
Lambert Mende: Vikwazo vya EU dhidi ya maafisa wa DRC si vya kisheria
Dec 12, 2016 23:18Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya ilivyowawekea baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa si halali.
-
Bunge la Iran lajadili vikwazo vipya vya Marekani
Dec 03, 2016 23:45Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, leo Jumapili linajadili njia za kutoa jibu kali kwa hatua ya Baraza la Seneti la Marekani ya kupitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA).
-
Zarif: Kurefusha vikwazo kunaonesha kuwa serikali ya Marekani haina muamana
Dec 03, 2016 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kwa mtazamo wa jamii ya kimataifa kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kunaonesha kuwa serikali ya Washington haina muamana.
-
"Obama atasaini mpango wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran"
Dec 03, 2016 00:54Baada ya Seneti ya Marekani kupitisha mpango wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran, afisa mmoja mwandamizi katika Ikulu ya Marekani (White House) amesema Rais wa nchi hiyo Barack Obama anatazamiwa kusaini mpango huo na kuwa sheria.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran
Dec 03, 2016 00:53Wajumbe wa Baraza la Seneti la Marekani wamepitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA).
-
'Kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ukiukaji mapatano ya nyuklia'
Dec 02, 2016 12:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema muswada wa Bunge la Marekani kurefusha muda wa vikwazo dhidi ya Iran kwa miaka kumi zaidi ni kinyume cha ahadi za Marekani katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA
-
Marekani yaihakikishia Brazil kuhusu kutoiwekea vikwazo
Nov 24, 2016 04:29Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Brazil amesema kuwa Marekani imeihakikishia nchi yake kwamba haitaiyawekea vikwazo mashirika na benki zake zinazofanya biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.