-
Kukataa Poland kuwapokea wahajiri Waislamu
Aug 08, 2017 22:02Serikali ya Poland imetangaza msimamo wake mpya kuhusiana na kupinga kuwapokea wahajiri na kusema kuwa, haitawapokea wahajiri kutoka Mashariki ya Kati na Afrika.
-
Warusi wengi wana mtazamo chanya kuhusu Waislamu
Aug 02, 2017 22:04Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Russia yameonyesha kuwa raia wengi wa nchi hiyo wana mtazamo chanya kuhusu Waislamu.
-
Mwenendo wa Trump mkabala na jamii ya Waislamu wa Marekani wakosolewa
Jul 26, 2017 09:27Zaidi ya asilimia 70 ya Waislamu nchini Marekani wamekosoa namna rais wa nchi hiyo anavyoamiliana vibaya na jamii ya Waislamu nchini humo.
-
Erdogan: Waislamu hawawezi kufumbia macho mgogoro wa al-Aqsa
Jul 23, 2017 23:28Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vikali hatua kandamizi za usalama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Quds Tukufu na kusisitiza kuwa katu Waislamu hawawezi kunyamazia kimya jinai hizo.
-
Ongezeko la Chuki dhidi ya Waislamu Marekani
Jul 18, 2017 21:58Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani.
-
Waislamu; wahanga wa vitendo vya kibaguzi na kigaidi vya kumwagiwa tindikali nchini Uingereza
Jul 15, 2017 23:44Waislamu wa nchini Uingereza wangali wanakabiliwa na vitendo na mashambulizi ya kibaguzi na kigaidi katika sura mpya kutoka makundi ya mirengo ya kulia yenye misimamo mikali. Jinai mpya ya hivi karibuni ilitekelezwa usiku wa Alhamisi ambapo Waislamu watano walimwagiwa tindikali usoni.
-
Kikao cha kushukuru mchango wa Waislamu chafanyika nchini Brazil
Jul 07, 2017 03:20Kikao cha kuheshimu na kutambua mchango wa jamii ya Waislamu wa Brazil kilifanyika jana katika bunge la nchi hiyo.
-
Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi
Jul 03, 2017 08:25Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.
-
Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif
Jun 25, 2017 10:58Wanajeshi wa utawala wa Saudi Arabia wamempiga risasi na kumuua mwenyekiti wa baraza la Qur'ani katika mji Awamiya katika eneo la Qatif mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu walioshiriki mazishi ya binti aliyeuawa Marekani walaani ubaguzi dhidi yao
Jun 22, 2017 09:47Waislamu walioshiriki mazishi ya binti wa Kiislamu aliyeuawa siku chache zilizopita na kijana mwenye chuki dhidi ya Uislamu huko katika jimbo la Virginia nchini Marekani, wamelaani vikali ongezeko la ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.