-
Wanazuoni Bahrain wakosoa ukandamizaji dhidi ya Mashia wanaomboleza
Oct 04, 2016 04:29Wanazuoni wakuu wa Kiislamu nchini Bahrain wamelaani ukandamizaji na dhulma zinazofanywa na watawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehenu ya Shia hususan wakati huu wanapofanya marasimu mbali mbali ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Maadui wazidi kuonesha chuki zao dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani
Oct 03, 2016 03:59Magenge yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya nchini Ujerumani yameendelea kuonesha chuki zao dhidi ya Waislamu kwa kutupa kichwa cha nguruwe nje ya msikiti wa mji wa Potsdam, makao makuu ya mkoa wa Brandenburg, nchini Ujerumani.
-
Bulgaria yapiga marufuku vazi la burqa kote nchini
Oct 01, 2016 04:31Sasa ni rasmi kuwa Bulgaria imejiunga na baadhi ya nchi za Magharibi zilizopiga marufuku vazi la burqa, baada ya bunge la nchi hiyo kupasisha sheria inayopiga marufuku vazi hilo linalovaliwa na wanawake Waislamu nchini kote.
-
Muwahhabi aliyebomoa turathi za Kiislamu Mali afungwa miaka tisa jela
Sep 27, 2016 23:09Muwahhabi mwenye misimamo mikali, Ahmed Al-Faqi Al-Mahdi amepatikana na hatia ya uhalifu wa kivita na kuhukumiwa miaka 9 jela katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Malaysia yataka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Sep 25, 2016 00:45Ahmad Zahid Hamidi Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia ametaka kutekelezwa mpango kamili na jumuishi wa kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayowakabili Waislamu wa Rohingya; ambao wamelazimika kuhama Myanmar na kuwa wakimbizi kutokana na mashinikizo ya Mabudha wenye misimamo mikali wa nchi hiyo.
-
Seneta nchini Australia akoloslewa kwa matamshi yake dhidi ya Waislamu
Sep 17, 2016 23:18Seneta Pauline Hanson wa Australia amekosolewa kwa matamshi yake yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Waislamu Afrika Kusini wavunjiwa heshima
Sep 16, 2016 09:56Wananchi wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.
-
Waislamu Nigeria waandamana wakitaka Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Sep 15, 2016 11:27Waislamu nchini Nigeria kwa mara nyingine tena wameandamana wakitaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Msikiti wateketezwa moto na wenye chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Sep 13, 2016 03:12Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Florida Marekani kimeteketezwa moto na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
-
Viongozi wa Waislamu Kenya walaani wanawake magaidi waliokuwa wamevaa buibui
Sep 13, 2016 02:29Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamewakana na kuwalaani wanawake watatu waliotekeleza hujuma ya kigaidi dhidi ya kituo cha polisi mjini Mombasa siku ya Jumapili.