-
Ethiopia yaachilia huru mamia ya wafungwa wakiwemo Waislamu
Sep 12, 2016 03:34Ethiopia imetangaza kuwaachilia huru mamia ya wafungwa wakiwemo Waislamu ambao walikuwa wanashikiliwa kwa kupinga uingiliaji wa serikali katika mambo yao ya kidini.
-
Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu
Sep 12, 2016 03:28Khatibu wa Sala ya Idul Adhaa mjini Tehran amesema maafa ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana ni thibitisho kuwa utawala wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Maeneo Mawili Matakatifu ya Waislamu.
-
Rais Rouhani awatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za Idi
Sep 11, 2016 22:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.
-
Ayatullah Nouri Hamedani: Haram mbili tukufu ni milki ya Waislamu wote
Sep 09, 2016 03:30Ayatullah Hussein Nouri Hamedani, mmoja wa Marjaa Taqlidi aliyeko katika mji wa Qom amesema: Haram mbili tukufu za Makka na Madina zilizoko nchini Saudi Arabia ni milki ya Waislamu wote duniani.
-
Jamii ya Waislamu Ujerumani yalaani kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu
Sep 08, 2016 09:51Jamii ya Waislamu nchini Ujerumani imelaani vikali mwenendo wa kuongezeka chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Kongamano kubwa la Waislamu lafanyika katika jimbo la Chicago, Marekani
Sep 04, 2016 23:53Kongamano kubwa la 53 la Jamii ya Kiislamu ya Amerika ya Kaskazini (ISNA) linafanyika katika jimbo la Chicago nchini Marekani.
-
Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza
Aug 27, 2016 07:52Afisa wa kwanza wa kike wa polisi wa Marekani, ameanza kazi katika jeshi hilo kwa kuvaa sare ya Hijabu katika mji wa Dearborn kwenye jimbo la Michigan.
-
Wanaharakati London na Berlin walaani marufuku ya vazi la Kiislamu
Aug 26, 2016 22:16Wanaharakati wanaopinga vitendo vya chuki dhidi ya dini ya Kiislamu wamefanya maandamano katika miji ya London na Berlin kulaani marufuku vazi la Kiislamu katika pwani za Ufaransa.
-
Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab
Aug 25, 2016 03:04Polisi ya Scotland Yard ya nchini Uingereza imepasisha vazi la staha ya mwanamke wa Kiislamu, Hijabu kama njia ya kuwavutia Waislamu kujiunga na jeshi hilo.
-
Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab
Aug 24, 2016 23:49Polisi ya Scotland Yard ya nchini Uingereza imepasisha vazi la staha ya mwanamke wa Kiislamu, Hijabu kama njia ya kuwavutia Waislamu kujiunga na jeshi hilo.