-
Rais Sally: Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi
Jul 17, 2016 03:36Rais wa Senegal amesema kuwa Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi duniani.
-
Newt Gingrich: Waislamu wafukuzwe Marekani
Jul 16, 2016 00:06Spika wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa Waislamu wanaoshikamana na sheria za Kiislamu wanapaswa kufukuzwa nchini Marekani.
-
Waislamu Uingereza washtushwa na kuteuliwa Bi. May kama Waziri Mkuu
Jul 14, 2016 02:00Waislamu nchini Uingereza wameshtushwa na kuteuliwa Bi. Theresa May kama Waziri Mkuu kutokana na sera zake haribifu kwa jamii ya Waislamu nchini humo.
-
Viogozi wa Waislamu Kenya walalamikia safari ya Netanyahu
Jul 10, 2016 02:17Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na ziara ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo dhalimu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Misikiti London yapokea vitisho kutoka magaidi wa mrengo wa kulia
Jul 09, 2016 23:10Misikiti kadhaa mjini London Uingereza imepokea vitisho vya kigaidi kutoka kwa makundi yanayoaminika kuwa ya wabaguzi wa mrengo wa kulia huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vikiongezeka nchini humo.
-
IHRC yaitaka jamii ya kimataifa kukomesha mateso ya Waislamu wa Myanmar
Jul 08, 2016 03:28Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu yenye makao yake London nchini Uingereza (IHRC) imesema kuwa kutokuwepo mashinikizo ya kimataifa ndiyo sababu ya kuendelea mateso na ukandamiza wa mabudha wenye misimamo mikali dhidi ya Waislamu nchini Myanmar.
-
9 wafariki dunia katika mkanyagano wakisherehekea Iddi, Ghana
Jul 07, 2016 10:03Watu tisa wamepoteza maisha katika mkanyagano wakati wa sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya Idul-Fitr jana usiku nchini Ghana.
-
Waislamu nchini Kenya wakosoa vikali uhusiano wa nchi yao na Israel
Jul 06, 2016 23:52Viongozi wa Waislamu katika eneo la Pwani nchini Kenya wamekosoa vikali uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na ziara ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo dhalimu.
-
Wanachuo wa Kiislamu wa Uganda watakiwa kuwa na umoja
Jul 06, 2016 02:19Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Uganda lililosimamiwa na ofisi ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lilimaliza kazi zake jana mjini Kampaka kwa kusisitiza udharura wa kuimarishwa umoja baina ya Waislamu.
-
Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika
Jul 05, 2016 02:48Huku Waislamu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe za Iddil-Fitri kutokana na kuelekea kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuadhimisha sherehe hizo kwa Amani na utulivu. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, ambapo pia amewataka Waislamu hao kujiepusha kumuasi Mwenyezi Mungu katika sherehe hizo….