-
Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya
Dec 23, 2016 13:14Huku vuta nikuvute baina ya serikali na mrengo wa upinzani nchini Kenya kuhusiana na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ukiwa unaendelea, kinara wa muungano wa upinzani wa CORD Raila Odinga ametahadharisha tena juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini humo.
-
Viongozi wa kidini Kenya wamtaka Uhuru asiidhinishe marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi
Dec 23, 2016 12:55Viongozi wa kidini nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asisaini muswada wa marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi ambao uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa hapo jana.
-
Mgogoro wa kisiasa Kongo DR wapatiwa ufumbuzi?
Dec 23, 2016 12:54Katika hatua ya ghafla na ambayo haikutazamiwa na wengi, pande hasimu za kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia muafaka, ambao utapelekea Rais Joseph Kabila asalie uongozini hadi mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Kambi ya upinzani Congo yawataka wananchi kupinga utawala wa Kabila
Dec 20, 2016 11:28Kambi kuu ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewataka wananchi kutomtambua tena Joseph Kabila kama rais wa nchi hiyo na imewahimiza kuonesha upinzani wao dhidi ya Kabila kwa njia ya amani.
-
Upinzani Gambia: Jammeh atageuka na kuwa kiongozi wa waasi nchini
Dec 19, 2016 04:08Upinzani nchini Gambia umemtahadharisha Yahya Jammeh, rais wa nchi hiyo aliyekataa matokeo ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni kuwa yumkini akageuka na kuwa kiongozi wa waasi akiendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Wapizani Kongo DR wasema hawataandamana dhidi ya serikali
Dec 18, 2016 10:35Viongozi wa upinzani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema hawatafanya maandamano kesho Jumatatu dhidi ya serikali, licha ya muhula wa Rais Joseph Kabila kumalizika.
-
Wapinzani S/Kusini wakaribisha mazungumzo ya kitaifa
Dec 16, 2016 12:05Wapinzani wa serikali ya Sudan Kusini wameunga mkono kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo.
-
Wapinzani Burundi wamkataa mpatanishi wa mgogoro wa nchi hiyo
Dec 13, 2016 13:11Makundi ya upinzani nchini Burundi yamemtaka Benjamin Mkapa, mpatanishi wa kimataifa katika mgogoro wa nchi hiyo ajiuzulu ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu awasili nchini humo na hivyo kuzusha wasiwasi wa kufanikiwa juhudi zinazosuasua za kutatua mgogoro wa machafuko ya kisiasa yanayoendelea kwa miezi kadhaa sasa katika nchi hiyo.
-
Kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa rais Ghana, Mahama akubali matokeo
Dec 10, 2016 04:04Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Ghana, Nana Akufo-Addo, ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais uliofanyika Jumatano iliyopita na kumshinda Rais wa sasa John Dramani Mahama.
-
Rais wa Ghana: Upinzani unawashawishi wafuasi wake wasikubali matokeo ya uchaguzi
Dec 07, 2016 00:28Rais John Dramani Mahama wa Ghana amemtuhumu kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo kuwa anawashawishi wafuasi wa chama chake wasikubali matokeo ya uchaguzi wa Rais na Bunge unaofanyika leo nchini humo.