-
Mgombea wa upinzani ashinda kiti cha Urais Gambia
Dec 03, 2016 23:41Adama Barrow, mgombea wa muungano wa upinzani nchini Gambia amembwaga Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh katika uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ambao matokeo yake hayakutarajiwa.
-
Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani
Dec 02, 2016 03:48Rais Mstaafu wa Tanzania ambaye pia ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi amezitaka pande husika katika nchi hiyo kushikamana na kuheshimu mchakato wa amani na hatua zilizopigwa za kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
MDC: Tsvangirai atawania urais 2018 licha ya hali yake ya afya
Dec 02, 2016 03:42Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe MDC kimesema kiko imara licha ya kuugua kiongozi wake Morgan Tsvangirai.
-
Sudan yawatia nguvuni viongozi wanne wakuu wa upinzani
Nov 24, 2016 10:06Serikali ya Sudan imewakamata viongozi wanne mashuhuri wa upinzani nchini humo akiwemo mwanasiasa mkongwe Sadiq Youssef.
-
Polisi Kongo DR wazima maandamano ya wapinzani Kinshasa
Nov 06, 2016 04:04Maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wapinzani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.
-
Upinzani: Matokeo ya kura ya maoni Kodivaa ni bandia
Nov 02, 2016 10:53Wapinzani nchini Ivory Coast wamepuuzilia mbali matokeo ya kura ya maoni ya kupitisha au kukataa katiba mpya ya nchi na kusema kuwa matokeo hayo ni bandia na ambayo hayaakisi sauti ya wananchi walio wengi.
-
Wapinzani Mauritania wataka kufanya mazungumzo na serikali
Oct 27, 2016 10:25Baadhi ya wapinzani nchini Mauritania wametaka kufanya mazungumzo mapya na serikali.
-
Ethiopia yapitisha sheria kali zaidi za hali ya hatari
Oct 17, 2016 10:49Wizara ya Ulinzi ya Ethiopia imetangaza habari ya kuanzisha sheria kali zaidi za hali ya hatari nchini humo.
-
Wapinzani Nigeria wataka marekebisho ya Katiba
Oct 15, 2016 23:09Vyama vya upinzani nchini Nigeria vimetaka kufanyike mabadiliko ya sheria za chaguzi za miji katika katiba ya nchi hiyo.
-
Wapinzani Kongo watakiwa kujongea kwenye meza ya mazungumzo ya kitaifa
Oct 15, 2016 09:12Jumuiya ya Ustawi ya Kusini mwa Afrika (SADC) imewatolea wito wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga na mazungumzo ya kitaifa.