-
Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan wamtaka Rais Bashir ajiuzulu
Jan 02, 2019 23:43Muungano mkubwa zaidi wa upinzani wa Nidaa nchini Sudan umemtaka Rais Omar al-Bashir wa nchi hiyo aachie ngazi, huku maandamano dhidi ya serikali yakiendelea.
-
Kiongozi wa upinzani Rwanda: Mashinikizo hayataninyamazisha
Dec 05, 2018 12:59Mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa Rwanda Diane Shima Rwigara amesema katu hatasalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho dhidi yake.
-
Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe
Nov 27, 2018 04:31Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimetangaza Alkhamisi ya kesho kutwa kuwa siku ya kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali.
-
Tshisekedi na Kamerhe wajiondoa kwenye muungano wa upinzani Kongo
Nov 13, 2018 23:50Baada ya kushinikizwa na wafuasi wao, viongozi wawili wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesalimu amri na kujiondoa kwenye muungano mpya wa upinzani uliotangaza mgombea mmoja mwishoni mwa wiki.
-
Mkutano wa kwanza mkubwa wa hadhara wa waungaji mkono wa serikali wafanyika DRC
Oct 28, 2018 12:37Makumi ya maelfu ya wafuasi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki kwenye mkutano wa kwanza mkubwa wa hadhara wa muungano wa vyama tawala ili kusikiliza hotuba za mgombea wao katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu.
-
Upizani Zimbabwe: Rais Mnangagwa hana uhalali wa kuongoza
Oct 23, 2018 23:22Kiongozi wa chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametoa mwito wa kuundwa Mamlaka ya Kitaifa ya Mpito akisisitiza kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kuhusu uhalali wa serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa.
-
Mkosoaji mkubwa wa Rais Kagame wa Rwanda, Diane Rwigara aachiwa huru
Oct 05, 2018 11:54Vyombo vya Mahakama nchini Rwanda vimemuachia huru kwa dhamana mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo Diane Rwigara, ingawaje kwa masharti.
-
Upinzani Burundi wataka kufikia tamati mazungumzo ya amani
Sep 09, 2018 02:51Viongozi wa upinzani nchini Burundi wametaka mazungumzo ya amani yanayotazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu kuwa ya mwisho.
-
Kiongozi wa upinzani Mali alalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais
Aug 06, 2018 03:35Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Mali amelalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais na ameamua kupeleka mashtaka mahakamani.
-
Upinzani, fujo na machafuko yaendelea baada ya uchaguzi nchini Zimbabwe.
Aug 04, 2018 11:21Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe ameyakataa matokeo ya uchaguzi wa rais akisema ni ya "uongo".