-
Iran yafanyia jaribio chombo kipya cha kubeba satalaiti
Oct 05, 2022 02:11Iran imefanyia majaribio chombo kilichobuniwa na kutengenezwa nchini chenye uwezo wa kuhamisha satalaiti zilizo katika anga za mbali kutoka sehemu moja hadi nyingine.
-
Ebrahim Raisi: Maadui walifanya njama kuzuia isiwafikie walimwengu sauti ya taifa la Iran
Sep 24, 2022 02:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, maadui walifanya njama kubwa za kuzuia kuwafikia walimwengu sauti ya taifa la Iran wakati wa ziara yake mjini New York Marekani alikohutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Iran, Russia na China kushiriki katika maneva ya kijeshi ya baharini
Sep 23, 2022 02:43Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa majeshi ya Iran, Russia na China yataendesha maneva ya pamoja ya kijeshi ya baharini.
-
Rais Raisi: Ahul Bayt AS ni siri ya Umoja wa Kiislamu
Sep 01, 2022 10:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ahul Bayt AS- yaani watu wa nyumba ya Mtume Muhammad SAW, ni ufunguo wa Umoja wa Kiislamu na chimbuko la matumaini katika jamii ya mwanadamu.
-
Sisitizo la Iran katika kuimarisha uhusiano na Tanzania
Aug 25, 2022 03:16Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili nchini Tanzania Jumatano usiku na kusema kwamba kunatayarishwa ramani ya njia kuhusiana na kuimarisha uhusiano wa Iran na Tanzania ili mchakato huo uchukue mkondo wa kasi.
-
Wasudani: Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan ni kuachia ngazi watawala wa kijeshi
Aug 20, 2022 07:48Upinzani dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Sudan unaendelea ambapo waandamanaji wanasisitiza kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ni kuachia ngazi utawala wa kijeshi unaoongozwa na Jenerali Abdul-Fatah al-Burhan
-
Maombolezo ya siku ya Ashura nchini Kenya
Aug 08, 2022 11:44Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya, wameshiriki katika hafla ya maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussain (AS) katika siku ya Ashura.
-
Raisi: Mahudhurio ya wananchi katika medani ndio nguzo kuu ya nguvu na usalama wa taifa
Jul 28, 2022 15:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba mahudhurio na kushiriki wananchi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ya taifa ndio sehemu muhimu zaidi ya nguvu ya kitaifa na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 01, 2022 10:08Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 29, 2022 03:55Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.