-
Spika: Siku ya Nakba inakumbusha uvamizi, mauaji ya kimbari, ukatili na jinai za Wazayuni
May 15, 2022 03:39Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran, Bunge amesema: Siku ya Nakba inakumbusha uvamizi, mauaji ya kimbari, ukatili na jinai za Wazayuni.
-
Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video
Mar 13, 2022 04:38Vyombo vya habari vya Iraq na duru za kijeshi nchini humo zimeripoti kuwa, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Erbil, makao makuu ya eneo la Kurdistan la Iraq imeshambuliwa kwa makombora ya balestiki.
-
Iran yazindua vituo viwili vya makombora na drone + Video
Mar 05, 2022 10:52Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh amesema Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameimarisha mara saba zaidi uwezo wa makombora na kuvurmisha makombora mengi kwa wakati moja na pia uwezo wa ndege za kivita zisizo na rubani au drone.
-
Wazayuni waripua kwa mabomu nyumba ya Mpalestina mjini Jenin + Video
Feb 14, 2022 07:25Mapema leo Jumatatu asubuhi, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wamevamia nyumba moja ya raia wa Kipalestina katika mji wa Jenin wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuua shahidi kijana mmoja wa Kipalestina na kujeruhi wengine 10. Wanajeshi hao makatili wameripua kwa mabomu pia nyumba ya raia mmoja wa Kipalestina.
-
Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru 'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video
Feb 11, 2022 23:29Mwanamapambano anayeunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina na shujaa wa kimataifa Georges Ibrahim Abdallah kwa mara nyingine tena amenyimwa uhuru wake na mahakama za Ufaransa.
-
Wamachinga waandamana Dar, mabomu yarindima, waruhusiwa kuweka alama maeneo yao + Video
Jan 17, 2022 11:40Wafanya biashara wa soko la mitumba la Mchikichini wilayani Ilala jijini Dar es Salaam Tanzania wameandamana na kufunga barabara kuishinikiza serikali iwaruhusu waendelee na biashara zao licha ya soko hilo kuunga usiku wa kuamkia jana Jumapili. Baada ya maandamano hayo, serikali imewaruhusu waweke alama kwenye maeneo yao wakati wakisubiri ripoti ya kamati ya kuchunguza chanzo cha moto ya jana.
-
Kamanda wa ngazi za juu wa wavamizi wa Yemen aangamizwa kusini mwa Ma'rib + Video
Dec 13, 2021 23:53Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa, Meja Jenerali Nasser al Dhaibani, kamanda wa ngazi za juu zaidi wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ameangamizwa katika mapigano ya kusini mwa mkoa wa Ma'rib nchini Yemen.
-
Raisi: Sheria ni mhimili wa kutekelezwa uadilifu
Dec 01, 2021 04:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha pamoja cha Serikali na Bunge kuwa sheria ndio mhimili wa kutekelezwa uadilifu.
-
Umuhimu na ujumbe wa luteka ya Dhulfiqar 1400 + Video
Nov 08, 2021 22:53Luteka ya pamoja ya Dhulfiqar 1400 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilianza siku ya Jumapili kwa jina takatifu la 'Ya Rasulullah (saw).'
-
Mufti Mkuu wa Croatia: Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya nchi za Kiislamu
Oct 20, 2021 09:57Mufti Mkuu wa Waislamu wa Croatia amesema, Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya sasa ya nchi za Kiislamu.