-
Wanajeshi Wazayuni wavamia Maulid ya Mtume SAW mjini Baitul Muqaddas, Palestina + Video
Oct 20, 2021 07:24Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW huko Baitul Muqaddas, Palestina na kujeruhi Waislamu kadhaa.
-
Video ya Biden bila ya barakoa akitoka mgahawani yazusha zogo Marekani
Oct 19, 2021 02:30Video iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii inayomuonesha Rais Joe Biden wa Marekani na mkewe, wakiondoka kwenye mgahawa katika mji mkuu, Washington DC bila ya kuvaa barakoa, imezusha zogo na mjadala mkubwa nchini Marekani.
-
Namaki: Kasi ya maambukizi ya kirusi cha corona cha India ni ya juu sana kuliko kile cha Uingereza
Jul 06, 2021 02:28Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, virusi vya corona vya India na Afrika Kusini viliingia Iran miezi miwili iliyopita.
-
Rais mteule wa Iran aahidi kufanya juhudi zake zote kutatua matatizo ya wananchi
Jun 20, 2021 02:22Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeshinda katika uchaguzi wa 13 wa rais uliofanyika juzi Ijumaa humu nchini amesema kuwa, serikali atakayounda itafanya juhudi zake zote kutatua matatizo yaliyopo nchini hasa ya kiuchumi.
-
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa azabwa kibao + Video
Jun 09, 2021 02:31Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amezabwa kibao wakati akiwa ziarani kusini mashariki mwa nchi hiyo. Katika kuonesha kuwa bado watu wanampenda, rais huyo anayeshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu, alikwenda haraka kuwapa mikono watu waliokuwa wamesimama pembeni. Mtu wa kwanza kumpa mkono ametumia fursa hiyo hiyo kumzaba kibao.
-
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania lalaani unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina+VIDEO
May 21, 2021 03:55Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limelaani vitendo vya kinyama na uadui vinavyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa taifa madhulumu la Palestina vikiwemo vya kuua raia wasio na hatia.
-
Pogba na Diallo wakiwa na bendera ya Palestina waonyesha kuwaunga mkono Wapalestina +VIDEO
May 19, 2021 08:25Paul Pogba nyota wa timu ya soka ya Manchester United ya Uingereza na mwenzake Ahmad Diallo walionekana jana baada ya mechi wakiwa na bendera ya Palestina na kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina wanaokabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mamia ya Maelfu ya Wayemen waandamana kuwaunga mkono ndugu zao Wapalestina + Video
May 18, 2021 02:51Maandamano makubwa ya kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina na mapambano yake ya ukombozi, yamefanyika huko San'a, mji mkuu wa Yemen.
-
Chanjo ya COVID-19 ya Iran ya Fakhra yaanza kufanyiwa majaribio + Video
Mar 16, 2021 08:12Awamu ya kwanza ya majaribio kwa mwanadamu ya chanjo ya COVID-19 ya Fakhra iliyotegenezwa Iran imeanza leo.
-
Jeshi la IRGC la Iran lazindua mji mpya wa makombora chini ya ardhi + Video
Mar 15, 2021 12:21Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran limezindua mji mpya wa makombora uliojengwa chini ya ardhi kwa kutegemea wataalamu Wairani na teknolojia ya ndani ya nchi.