-
Kikosi cha Majini cha IRGC chapokea boti 340 za kivita zenye uwezo wa kurusha makombora + Video
Feb 08, 2021 08:11Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran (IRGC) kimepokea boti 340 za kivita zenye uwezo wa kuvurumisha makombora.
-
Iran itatuma sataliti zaidi katika anga za mbali kwa kutumia kombora jipya
Feb 03, 2021 02:29Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa baada ya kutuma katika anga za mbali kombora la kisasa kabisa la kubeba satalaiti ambalo linajulikana kama Zuljanah. Amesema kombora la Zuljanah litaweza kutuma satalaiti zaidi katika anga za mbali.
-
Khatibzadeh: Hakutakuweko mazungumzo ya pande mbili baina ya Iran na Marekani
Feb 01, 2021 11:59Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitafanya mazungumzo na serikali ya Marekani.
-
Wananchi wa Sudan waandamana kupinga uhusiano na Israel + Video
Jan 18, 2021 10:50Wananchi wa Sudan wameandamana mjini Khartoum, kupinga uamuzi wa nchi yao kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Jeshi la Iran la IRGC lafanya majaribio makubwa ya makombora mapya
Jan 16, 2021 07:40Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) linafanya mazoezi makubwa ya makombora katika jangwa la kati mwa Iran ambapo limefanyia majaribio makombora mapya ya balistiki na ndege za kivita zisizo na rubani.
-
Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora Ghuba ya Uajemi + VIDEO
Jan 08, 2021 11:58Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezindua kituo kikubwa na cha kistratijia cha makombora chini ya ardhi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran imepata mafanikio ya kipekee katika uzalishaji droni + Video
Jan 05, 2021 12:31Kamanda wa kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikosi hicho kimepata mafanikio makubwa na ya kipekee katika uzalishaji na utumiaji wa droni yaani ndege zisizo na rubani.
-
Raisi: Chanjo ya corona ya Iran hadi sasa haijaonesha athari yoyote hasi + Video
Dec 30, 2020 15:55Naibu Waziri wa Afya na Mafunzo ya Tiba wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa hakuna athari zozote hasi zilizooneshwa na watu waliofanyiwa majaribio hayo, licha ya kupita zaidi ya masaa 24 ya tangu kudungwa chanjo hiyo.
-
Zanganeh: Iran inafanya juhudi za kuuza mafuta katika soko la kimataifa
Dec 22, 2020 07:34Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran inafanya jitihada za kuuza mafuta katika soko lal kimataifa licha ya kuendelea vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya nchi hii.
-
Mbunge: Baadhi ya wakaguzi wa IAEA nchini Iran walikuwa wakiifanyia ujasusi CIA
Dec 02, 2020 02:31Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Iran amesema idadi kubwa ya wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA waliokuwako hapa nchini walikuwa majasusi na walilipatia Shirika la Ujasusi la Marekani CIA taarifa za wanasayansi wa Iran.