-
Barua ya Iran kwa Guterres, sisitizo la mazungumzo baina ya nchi za Asia Magharibi + Video
May 23, 2019 02:41Majid Takht-Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumanne, Mei 21, 2019 alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusiana na njama za waenezaji fitna wa kigeni kwenye eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Trump amdhalilisha mfalme wa Saudi Arabia kwa mara ya kumi + Video
May 12, 2019 02:35Kwa mara ya pili katika kipindi cha siku 10, rais wa Marekani ameendelea kuudhalilisha utawala wa kifalme wa Saudi Arabia akiwemo mfalme Salman bin Abdulaziz mwenyewe.
-
Kiongozi wa Daesh adaiwa kuonekana tena baada ya kupita miaka 5 + Video
Apr 30, 2019 06:34Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limesambaza mkanda wa video unaodai kumuonyesha kwa mara ya kwanza, baada ya kupita miaka mitano, kiongoza wa kundi hilo Ibrahim as-Samarrai, mashuhuri kama Abubakr al-Baghdadi.
-
Larijani: Wairani wataifanya Marekani ijute
Apr 28, 2019 14:14Spika wa Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesema Wairani kwa kusimama kwao kidete watapelekea watawala wa Marekani wajute.
-
Rouhani: Njama za Marekani dhidi ya Iran zitashindwa + Video
Apr 24, 2019 14:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Wamarekani katika kipindi cha miaka 40 sasa wamekuwa wakipanga njama kila siku dhidi ya taifa la Iran na katika muda huo wote wamekuwa wakishindwa."
-
Kiongozi Muadhamu: Uhasama wa Marekani katika kadhia ya mafuta hautabakia bila jibu
Apr 24, 2019 13:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Katika kulipigisha magoti taifa la Iran, adui amejikita katika mashinikizo ya kiuchumi lakini afahamu kuwa, taifa hili katu halitapigishwa magoti na sambamba na kutumia vikwazo kama fursa ya kustawi na kunawiri, halitaacha uhasama wa Marekani ubakie hivi hivi bila kupata jibu."
-
Pompeo: Ndani ya CIA tulikuwa na kozi maalumu ya namna ya kusema uongo na kutapeli + Video
Apr 24, 2019 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ambaye zamani alikuwa Mkuu wa Shirika la Kijasusi la nchi hiyo CIA amesema kuwa shirika hilo lilikuwa na kozi maalumu ya kufundisha watu kusema uongo na kutapeli na kusisitiza kuwa hiyo ni katika fakhari za Marekani.
-
Zarif: Hatua ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni hatari
Apr 14, 2019 16:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema hatua isiyo ya kawaida ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu itakuwa na matokeo hatari sana.
-
Zarif: Nchi za Ulaya zimezembea sana katika kutekeleza ahadi zao za mapatano ya JCPOA
Apr 14, 2019 14:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zimezembea sana katika kutekeleza ahadi zao katika mpatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekekelzwaji (JCPOA), na kuongeza kuwa: "Nchi za Ulaya hazipaswi kudhani kuwa Iran itaendelea kuzisuburi"
-
Kiongozi: Ukhabithi wa Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu hautafika popote
Apr 09, 2019 15:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani inahasimiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa sababu jeshi hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuilinda Iran na Mapinduzi ya Kiislamu na kuongeza kuwa: "Kwa miaka 40 sasa, Marekani na maadui wengine wajinga wamekuwa wakifanya kila wawezalo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini wameshindwa."