-
Rais Rouhani: Marekani imeitaja IRGC kuwa kundi la kigaidi ili kufidia kushindwa kwake
Apr 09, 2019 15:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kung'oa mizizi ya ugaidi katika eneo na kuongeza kuwa: "Uistikbari wa kimataifa na Marekani wanalenga kufidia kushindwa katika makabiliano na taifa la Iran kwa kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu eti ni kundi la kigaidi."
-
Iran yatangaza wanajeshi wa Marekani waliopo Asia Magharibi ni magaidi + Video
Apr 08, 2019 15:24Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa kikosi cha Marekani kilichopo katika eneo la Asia Magharibi (Centcom) na askari wote walioko chini ya komandi hiyo ya kijeshi ya Marekani ni kundi la kigaidi.
-
Mgogoro wa chakula kuwaathiri mamilioni ya watu mwaka huu duniani, Yemen yaongoza + Video
Apr 03, 2019 06:41Wanasayansi wametahadharisha kuwa, mgogoro wa chakula utawaathiri makumi ya mamilioni ya watu duniani mwaka huu wa 2019 huku vita, majanga ya kimaumbile hasa yatokanayo na hali mbaya ya hewa na migogoro wa kiuchumi ikiwaweka zaidi ya watu milioni 113 katika mahitaji makubwa ya misaada ya kibinadamu mwaka jana.
-
Imam wa zamani wa Masjidul Haram abadilisha msimamo, asema alikosea kuwaita Mashia makafiri + Video
Mar 25, 2019 00:15Adil al Kalbani, imam wa zamani wa Msikiti wa Makka (Masjudul Haram) amebadilisha msimamo wake kuhusiana na Waislamu wa Kishia.
-
Abdullah Gül: Miamala bora ya Waziri Mkuu wa New Zealand inapaswa kuigwa + Video
Mar 22, 2019 14:08Rais wa zamani wa Uturuki, Abdullah Gül amesema kuwa, miamala ya Waziri Mkuu wa New Zealand baada ya shambulio la hivi karibuni la kigaidi nchini humo, inafaa kuigwa na viongozi wengine wa dunia
-
Gaidi aliyeua makumi msikitini New Zealand ni mfuasi wa sera za Trump + Video
Mar 15, 2019 15:55Gaidi mwenye umri wa miaka 28 kwa jina Brenton Tarrant raia wa Australia ambaye amehusika katika shambulizi dhidi ya msikiti mmoja kati ya miwili iliyoshambuliwa nchini New Zealand amekuwa akijitangaza kuwa ni mfuasi wa sera za Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Rais Rouhani azuru nyumba ya Imam Khomeini MA mjini Najaf Iraq + Video
Mar 13, 2019 15:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo jioni ametembelea eneo la kihistoria na kiutamaduni ambalo ni nyumba ya kihistoria ya Imam Khomeini MA mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Najaf Iraq na kukumbuka siku ambazo Imam Khomeini aliishi kwa mashaka katika nyumba hiyo baada ya mfalme wa Iran kumbaidishia Iraq mwanachuoni huyo mwanamapambano.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika
Mar 10, 2019 07:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.
-
Mamia waandamana Sweden kulaani polisi kumdhalilisha mwanamke mwenye asili ya Afrika + Video
Feb 24, 2019 07:05Watu wasiopungua 2000 walifanya maandamano mjini Stockholm jana Jumamosi kulalamikia ubaguzi wa polisi wa Sweden dhidi ya watu wa jamii za wachache.
-
Shahidi Zakaria, ushahidi mwingine wa ukatili wa Aal Saud na Mawahabi wa Saudia + Video
Feb 10, 2019 01:15Zakariya Bader al-Jabir mtoto Mwislamu aliyekuwa na umri wa miaka 6 wa madhehebu ya Shia ambaye alikuwa amekwenda katika mji mtakatifu wa Madina kwa ajili ya kuzuru kaburi la Mtume Muhammad (saw) ameuawa kikatili na dereva wa Kiwahabi wa Saudia.