-
Matamshi ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa mnasaba wa kutimia miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 07, 2019 22:32Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayydi Hassan Nasrullah ametoa hotuba kusini mwa Bairut, mji mkuu wa Lebanon katika sherehe ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ambapo ameashiria masuala mengi muhimu.
-
Mwanajeshi Mzayuni atwangwa risasi na mwanamapambano wa Palestina + Video
Feb 04, 2019 01:04Tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul Islami ya Palestina jana Jumapili lilisambaza video inayoonesha jinsi mtunga shabaha stadi (sniper) wa harakati hiyo alivyomdungua kwa risasi mwanajeshi Mzayuni ambaye alikuwa akiwashambulia kwa risasi waandamanaji wa Palestina.
-
Iran: Hatukwamishwi na chochote katika kuimarisha nguvu zetu za makombora + Video
Feb 03, 2019 16:18Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kwa kusisitiza kwamba, leo hii Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina matatizo yoyote ya kiufundi wala ya kiteknolojia katika kustawisha nguvu zake za makombora.
-
Jeshi la Iran: Ndege iliyoanguka mapema leo nje ya Tehran ilikuwa ya mizigo + Video
Jan 14, 2019 08:23Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa kuhusu ajali ya ndege iliyotokea mapema leo asubuhi karibu ya mji wa Karaj nje ya Tehran na kusema kuwa, ndege hiyo aina ya Boing 707 ilikuwa ya mizigo na ilikuwa ikitokea Bishkek Kyrgyzstan.
-
Majibu makali ya Wayemen; mamluki 150 wa Kisaudi wauawa na kujeruhiwa + Video
Jan 10, 2019 15:59Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesema kuwa, droni ya jeshi la nchi hiyo na vikosi vya kujitolea vya wananchi, imefanya shambulizi la kishujaa baada ya kufanyika operesheni kali ya kukusanya taarifa za kijasusi, na kufanikia kuua na kujeruhi mamluki 150 wa Kisaudi leo asubuhi.
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Sheikh Nimr Baqir Al Nimr + Filamu
Jan 02, 2019 07:51Leo Jumatano Januari Pili 2019 ni kumbukumbu ya mwaka wa tatu tokea alipouawa shahidi Sheikh Nimr Baqri al Nimr, mwanazuoni wa Kiislamu na mwanamapambano wa kutetea haki wa Saudi Arabia
-
Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video
Dec 31, 2018 15:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.
-
Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuwa pamoja na watu wa Palestina + Video
Dec 30, 2018 07:15"Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuwa bega kwa bega na watu wa Palestina na kuyaunga mkono malengo yao matukufu."
-
Kuunga mkono Palestina; Sera thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran + Video
Dec 24, 2018 07:37Ujumbe wa wabunge wa Palestina ukiongozwa na Mahmoud Al Zahar Mkuu wa Mrengo wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, katika bunge, ambaye pia ni mwanachama wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, uko mjini Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Tanzania yawataka wanahabari kutekeleza vyema majukumu yao + Sauti, Video
Dec 24, 2018 07:01Dk Hassan Abbas, msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania amewataka waandishi wa habari nchini humo kutambua haki na kutimiza vyema wajibu wao.