-
Makumi wapoteza maisha katika janga la tsunami nchini Indonesia + Video
Dec 23, 2018 07:20Makumi ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na tsunami iliyosababishwa na mripuko wa volcano nchini Indonesia.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya "Mtume Mtukufu SAW-12" yafanyika kusini mwa Iran + Video
Dec 22, 2018 15:34Mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la "Mtume Mtukufu SAW-12" yamefanyika kwa mafanikio katika kisiwa cha Qeshm kusini mwa Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani kamwe haviwezi kubadilisha siasa za Iran + Video
Dec 16, 2018 07:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani dhidi ya nchi yake vitashindwa tu na kamwe havitoweza kubadilisha siasa za Tehran.
-
Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani
Dec 11, 2018 15:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uuzaji mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la dunia unaendelea hata baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vilianza Novemba Nne.
-
Maandamano makubwa ya wananchi Ufaransa, serikali ya Macron katika mgogoro mkubwa + Video
Dec 04, 2018 03:09Hali ya Ufaransa ni ya mgogoro hivi sasa kutokana na kushadidi malalamiko ya wananchi na serikali kutumia nguvu kupita kiasi kujaribu kukandamiza maandamano ya wananchi hao. Awali Rais Emmanuel Macron alikuwa ameng'ang'ani msimamo wake wa kutozungumza na waandamanaji, lakini hatimaye amelazimika kuruhusu mazungumzo.
-
Mwanamke Mauritania akataa kumpa mkono Bin Salman kulinda maadili ya Kiislamu + Video
Dec 03, 2018 08:04Mwanamke mmoja aliyeshiriki katika kumlaki mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia alipowasili Mauritani alikataa kumpa mkono mtawala huyo ambaye alikuwa amemnyooshea mkono.
-
Serikali ya Ufaransa yazidi kukandamiza raia wake + Video
Dec 02, 2018 08:02Polisi nchini Ufaransa wanaendelea kutumia nguvu kupita kiasi kukandamiza wananchi wanaopinga mfumo wa kibepari.
-
Rais Rouhani: Iran ndiye mpinzani mkuu wa silaha za mauaji ya umati na ugaidi + Video
Nov 21, 2018 16:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ndiyo inayoweza kudai kuwa ni mpinzani mkuu wa ugaidi na silaha za kemikali hasa kutokana na kwamba, taifa la Iran ndiye muhanga mkuu zaidi wa ugaidi na mashambulizi ya silaha hizo hatari.
-
Jibu la Iran kuhusu madai ya haki za binadamu ya Saudi Arabia
Nov 20, 2018 03:49Abdullah Al Mualami Mwakilishi wa Saudi Arabia katika kikao cha hivi karibuni cha Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya haki za binadamu alitoa madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Video: Waislamu wa Kisuni Iran waungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha
Nov 06, 2018 11:41Wanavuoni, vijana na Waislamu wa matabaka mbalimbali wa Iran wameungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha AS, mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW ambaye pia ni Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia.