-
Kiongozi wa Mayazidi Iraq, awataka vijana wa kabila hilo kujiunga na Hashdu Sha'abi
May 29, 2017 14:09Kiongozi Mkuu wa watu wa kabila la Mayazidi nchini Iraq, sambamba na kutoa pongezi na shukurani za dhati kwa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini, amewataka pia vijana wa kabila hilo kujiunga na harakati hiyo kuilinda nchi.
-
Wakorea Kusini: Hatutaki Marekani iweke ngao yake ya makombora nchini kwetu
Apr 27, 2017 16:00Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano kulalamikia uamuzi wa serikali wa kukubali kuweka ngao ya makombora ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Shakhsia wakubwa wa kisiasa na kidini Iran waandikisha majina yao kugombea urais; yumo Rais Rouhani na Raisi
Apr 14, 2017 16:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesajili jina lake kwenye Tume ya Uchaguzi kama mgombea wa duru ya 12 ya uchaguzi wa rais nchini.
-
Mwandishi aliposhambuliwa kwa kombora akiwa hewani mubashara
Mar 20, 2017 11:23Mwandishi wa televisheni ya al Alam, Haydar Qassim amejeruhiwa mguuni baada ya eneo alipokuwa anatoa ripoti yake kwa sura ya mubashara kushambuliwa kwa kombora na magaidi wa Daesh, magharibi mwa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi
Mar 02, 2017 18:26Jeshi la Syria limetangaza rasmi kuwa limeukomboa mji wa Tadmur (Palmyra) kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh baada ya kuwafurusha magaidi hao.
-
VIDEO: Israel yatuma majasusi nchini Syria
Feb 27, 2017 02:45Kikosi maalumu cha jeshi la Israel kimeingia kwenye ardhi ya Syria kwa ajili ya kufanya ujasusi.
-
Video: Maroketi erevu ya Iran yenye uwezo mkubwa wa kushambulia
Feb 21, 2017 11:56Katika maneva ya kijeshi yanayoendelea hivi sasa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio maroketi erevu (smart rockets) ambayo yana uwezo mkubwa wa kushambulia adui. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya kazi zinazofanywa na maroketi hayo.
-
Video: Mazungumzo ya Rais Rouhani na Sultan Qaboos wa Oman
Feb 15, 2017 18:10Akiwa katika ziara rasmi ya siku moja, leo Jumatano, tarehe 15 Februar 2017, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dk Hassan Rouhani ameonana na kuzungumza na Sultan Qaboos wa Oman na pande mbili zimetilia mkazo umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kidugu baina yao.
-
Video: Rais Rouhani alipowasili Oman Jumatano Feb 15 2017
Feb 15, 2017 17:13Mapokezi ya Rais wa Iran katika uwanja wa ndege wa Muscat Oman
-
VIDEO: Maadui wachoma moto kituo cha Waislamu nchini Ujerumani
Feb 01, 2017 15:44Kituo cha Kiislamu cha mji wa Bielefeld nchini Ujerumani kimechomwa moto ikiwa ni kuendelezwa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini humo.