-
Video: Jeshi la Yemen laangamiza meli ya kivita ya Saudia
Jan 31, 2017 03:07Jeshi la Yemen jana Jumatatu liliteketeza meli ya kivita ya Saudia na kuangamiza makumi ya wanajeshi vamizi wa nchi hiyo na kujeruhi wengine wengi.
-
Ayatullah Hashemi Rafsanjani amezikwa leo
Jan 10, 2017 13:27Mwili wa marehemu Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran umezikwa leo katika haram ya mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (MA).
-
VIDEO: Wananchi wa Syria wakisherehekea kukombolewa Halab (Allepo)
Dec 23, 2016 03:45Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa miaka minne.
-
Magaidi wasafishwa kikamilifu katika mji wa Halab Syria, wananchi washerehekea + Video
Dec 23, 2016 00:35Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa zaidi ya miaka minne.
-
Hatimaye mji wa kihistoria wa Nimrud huko Mosul wakombolewa na jeshi la Iraq kutoka kwa ISIS
Nov 10, 2016 10:09Kamanda wa operesheni za kuukomboa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nineve (Nainawa), kaskazini mwa Iraq, ametangaza habari ya kukombolewa mji wa kihistoria wa Nimrud ambao mwaka 2014 ulishuhudia uharibifu mkubwa wa wanachama wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 08, 2016 12:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
VIDEO: Apewa kadi kwa vituko uwanjani (Kama huwezi kujizuia kucheka usiangalie)
Nov 08, 2016 05:46Ungelihisi vipi kama ungelimuona mwenzako anafanya mchezo mchezoni? Kama ungelimuona anafanya vituko uwanjani? Mtangazaji wa kabumbu hii yeye ameshindwa kujizuia kucheka, lakini mwamuzi alikuwa na mtazamo tofauti! Usiangalie kama kicheko chako kiko karibu.
-
VIDEO: Panya mjanja! Lakini...
Nov 08, 2016 05:36Ukijifanya mjanja, jua kuwa wako wajanja kuliko wewe. Panya huyu alidhani kwa kujificha kwenye tairi la gari ndiyo itakuwa salama yake lakini...
-
VIDEO + PICHA: Rais Rouhani alipozindua mfumo wa kisasa wa Iran wa kujilinda na makombora Bavar 373
Oct 13, 2016 12:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezindua mfumo wa kisasa kabisa wa kujilinda na makombora uliotengenezwa na wataalamu wa Iran ambao una nguvu kuliko ule wa S300 wa Russia. Mfumo huu wa makombora wa Iran unaitwa Bavar-373
-
Mamilioni ya Waislamu wakumbuka tukio la kuuawa shahidi Imam Hussein (as)
Oct 11, 2016 14:58Mamilioni ya Waislamu wa madhehebu ya Shia leo tarehe 9 Muharram wameshirika katika shughuli ya kukumbuka tukio chungu la kuuawa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Imam Hussein (as).