-
VIDEO: Kama ulipitwa na video wakati Netanyahu alipoaibika; wakati mbunge Muislamu wa Uholanzi alipokataa kumpa mkono, ingia hapa kuiona
Oct 05, 2016 10:45Tunahan Kuzu, mbunge Muislamu wa chama cha DENK katika bunge la Uholanzi amekataa kumpa mkono Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa safari rasmi aliyofanya kuitembelea nchi hiyo.
-
VIDEO: Iran yaonesha ndege za drone ilizozitengeneza baada ya kuziteka kutoka kwa Marekani na Israel
Oct 01, 2016 13:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutengeneza mfano wa ndege zisizo na rubani (drone) ilizoziteka kutoka kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel. Ndege hizo zina uwezo zaidi ya ule wa ndege za asili za Marekani na Israel. Video hii inaonesha sehemu ya ndege hizo na namna zinavyofanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
-
VIDEO: Jeshi la Iran laonyesha magari yake ya kisasa ya kushambulia vitani bila dereva
Sep 27, 2016 11:45Robot wa Iran wenye uwezo wa kushambulia vitani bila ya kuwa na dereva, ni sehemu ya maonyesho ya Siku ya Jeshi nchni Iran.
-
VIDEO: Kama huna mbavu usiangalie kichekesho hiki cha mwaka
Sep 27, 2016 10:51Kama inasemwa, raha ya kabumbu ni namna mtu unavyoweza kutabiri nini kitatokea sekunde chache ijayo. Sehemu unayotarajia goli litafungwa halifungwi na pale usipotarajia kabisa kuwa gali halifungwi ndipo linapofungwa. Huu ni mfano wa wazi wa kituko hicho cha mwaka katika kabumbu. Utumbo huu wa mwaka umefanywa na golikipa wa timu ya vijana ya Korea Kaskazini katika mashindano ya Asia.
-
VIDEO: Mahojiano ya Radio Tehran na Spika wa Bunge la Kenya
Sep 25, 2016 14:31Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.
-
Video: Kama hata wanyama wanasaidiana, mwanadamu anashindwaje kumsaidia mwenzake?
Sep 21, 2016 09:37Kama unadhani huruma iko kwa viumbe wenye akili tu, umekosea. Viumbe wengine nao wana nadhari, na baadhi ya wakati msaada wao ni bora zaidi kulikoni hata wa wanadamu wanaoambatanisha misaada yao na masimbulizi. Cha kuvutia kwenye kipande hiki cha video ni namna nguchiro wawili, mama na mwana walivyosaidiana kumuokoa mwenzao.
-
Video: Ajali haina kinga, lililoandikwa lazima litatokea
Sep 21, 2016 09:33Licha dereva wa gari hii kuchukua tahadhari kubwa, lakini jitihada haiondoi kudura. Ajali hii ilishaandikwa kutokea hata kama ni kwa uzembe wa dereva wa pikipiki kama kinavyoonesha kipande hiki cha video.
-
VIDEO. Sheikh Hemedi Jalala: TCRA na polisi Tanzania wamnase kijana aliyeivunjia heshima dini ya Kiislamu
Sep 17, 2016 05:23Sheikh Hemedi Jalala, mmoja wa viongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania na Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq (as) jijini Dar es Salaam, ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo (TCRA) kwa kushirikiana na maafisa usalama, kumtia mbaroni kijana JEREMIA EDWARD.
-
Video: Duma wa Iran akiwa mawindoni
Sep 08, 2016 03:34Miongoni mwa wanyama walio katika hatari ya kutoweka, ni duma wa Iran ambao hivi sasa wamebakia wachache sana.
-
Video: Hasara waliyopata wanajeshi wa Saudia nchini Yemen ndani ya ardhi ya Saudia (2)
Sep 03, 2016 17:15Wakati Saudi Arabia na kundi lake wanaendelea kushambulia maeneo ya raia na kuharibu miundombinu nchini Yemen, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya wananchi wanaendelea kupata ushindi katika medani za mapigano katika eneo la Najran, ndani ya ardhi ya Saudi Arabia. Video hii inaonesha sehemu ndogo ya uhakika huo. Hii ni sehemu ya pili.