Video
  • Duma wa Iran

    Duma wa Iran

    Sep 01, 2016 18:08

    Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha sehemu ya chui aina ya duma wa nchini Iran

  • Aokoka chupuchupu kusagwa na treni

    Aokoka chupuchupu kusagwa na treni

    Aug 30, 2016 08:38

    Mtu hafi ila kwa ahadi yake kufika hata wakikusanyika viumbe wa mbinguni na ardhi kutaka kukumalizia maisha hawawezi kama siku yako haijafika. Video hii inathibitisha namna mtu alivyookolewa sekunde ya mwisho kabla ya kusagwasagwa na treni.

  • Usidhani ni mwadanamu tu ndiye awezaye kuendesha baskeli

    Usidhani ni mwadanamu tu ndiye awezaye kuendesha baskeli

    Aug 30, 2016 08:23

    Kinachompambanua mwanadamu na mnyama ni akili na maarifa yanayomfanya awe mbunifu, si utendaji wa matendo, kwani kuna matendo mengi tu yafanywayo na binadamu huweza kufanywa pia na wanyama kama kinavyoonesha kipande hiki cha video.

  • Ndege anayezungumza na watu kwa vitendo

    Ndege anayezungumza na watu kwa vitendo

    Aug 30, 2016 08:18

    Ndege anayesikiliza analoambiwa na kuonesha kuwa ameelewa alichoambiwa kupitia vitendo.

  • Kunguru mzungumzaji

    Kunguru mzungumzaji

    Aug 30, 2016 08:09

    Kila kitu dunia hii kimekuwa ni maslahi. Kunguru ameamua kuzungumza ili maslahi yake ya kupewa chakula yatimie

  • Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza

    Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza

    Aug 27, 2016 12:22

    Afisa wa kwanza wa kike wa polisi wa Marekani, ameanza kazi katika jeshi hilo kwa kuvaa sare ya Hijabu katika mji wa Dearborn kwenye jimbo la Michigan.

  • Mashambulizi makali ya jeshi la Syria wakati mwandishi akiwa LIVE hewani

    Mashambulizi makali ya jeshi la Syria wakati mwandishi akiwa LIVE hewani

    Aug 14, 2016 09:41

    Ni mara chache kuona matukiio kama haya ya mashambulizi ya moja kwa moja katika medani za vita. Habari nyingi zinazoripotiwa na vyombo vya habari ni za picha na video zilizorekodiwa kabla ya kuhaririwa na kurushwa hewani, lakini kipande hiki cha video kinaonesha mashambulizi yakitokea wakati kamera ya mwandishi ikiwa moja kwa moja hewani...

  • Maisha yaendelea kama kawaida Halab Syria, utadhani hakuna vita

    Maisha yaendelea kama kawaida Halab Syria, utadhani hakuna vita

    Aug 10, 2016 10:12

    Makundi ya kigaidi na nchi zinazoyaunga mkono zimekuwa zikifanya propaganda kubwa za kudai kuwa hali ya kimaisha katika mji wa Halab Syria ni mbaya mno kiasi kwamba watu hawatoki nje, hakuna huduma hata za dharura n.k. Hata hivyo kamera ya televisheni ya al Alam iliyotembelea mji huo inaakisi kinyume kabisa na madai hayo ya uongo ya maadui wa taifa la Syria

  • Video: Vita kaskazini mwa Syria

    Video: Vita kaskazini mwa Syria

    Aug 10, 2016 10:05

    Jeshi la Syria na waitifaki wake linaendelea kupambana vikali na magenge ya kigaidi yanayopata uungaji mkono wa madola ya kigeni ikiwemo Marekani, Israel baadhi ya nchi za Ulaya na baadhi ya nchi za Kiarabu na nyingine zinazopakana na Syria. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya vita hivyo vinavyoendelea Halab, kaskazini mwa Syria.