Video
  • Maajabu ya kandanda hayana mwisho, huwezi kuamini...

    Maajabu ya kandanda hayana mwisho, huwezi kuamini...

    Jun 29, 2016 07:54

    Kandanda yaani soka ina maajabu mengi; ona maajabu yake katika penati, huwezi kuamini kama ni kweli hadi ujionee mwenyewe kwenye video hii....

  • Basi la shule

    Basi la shule

    Jun 28, 2016 06:21

    Duniani kuna maajabu, hili ni moja ya maajabu hayo...

  • Subhanallah! Mtu anavyojitahidi kumwokoa papa baharini

    Subhanallah! Mtu anavyojitahidi kumwokoa papa baharini

    Jun 28, 2016 06:17

    Kipande hiki cha video kimeenea katika mitandao ya kijamii kikimuonesha mtu akijaribu kadiri awezavyo kumuokoa papa "aliyepwewa" baharini. Ajabu ni kuwa kadiri papa alivyokuwa anarudishwa baharini, alikuwa ndio kwanza anarejea nchi kavu...

  • Yaliyomsibu mvuvi

    Yaliyomsibu mvuvi

    Jun 28, 2016 06:13

    Yaliyomsibu mvuvi aliyetaka kuvua samaki mkubwa kwa hali yoyote ile. Pamoja na tabu na madhara na mashaka, hatimaye...

  • Unyanyasaji wa Wazayuni na mateso ya Wapalestina

    Unyanyasaji wa Wazayuni na mateso ya Wapalestina

    Jun 25, 2016 11:33

    Ijumaa ya wiki hii ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Tumekuwekea kipande hiki cha video kinachoonesha namna wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanavyowatesa Wapalestina katika ardhi yao wenyewe...

  • Vipaka vidogo vinapojigeuza sungura

    Vipaka vidogo vinapojigeuza sungura

    Jun 25, 2016 11:22

    Uigizaji hauishii tu kwa wanadamu wenye akili zao, bali hata kwa wanyama wasio na akili. Ona vipaka hivi vidogo vinavyowaigiza sungura kwa kutembea kwa kurukaruka.

  • Hasira za mkizi

    Hasira za mkizi

    Jun 25, 2016 11:21

    Ukisikia hasira za mkizi ndizo hizi...

  • Ronaldo ashindwa kujizuia...

    Ronaldo ashindwa kujizuia...

    Jun 25, 2016 11:19

    Wakati mchezaji nguli wa kandanda anaposhindwa kuficha hasira zake...

  • Mtangazaji awashangaza watazamaji...

    Mtangazaji awashangaza watazamaji...

    Jun 25, 2016 11:17

    Teknolojia imepiga hatua kiasi kwamba kila leo kunakuja vitu vipya kama huyu mtangazaji wa kike alivyowashangaza watazamaji wake kwa kuchupa ndani ya kioo cha runinga.