Ngedere akionyesha manjonjo yake juu ya "kapikipiki"
https://parstoday.ir/sw/news/world-i10219-ngedere_akionyesha_manjonjo_yake_juu_ya_kapikipiki
Uvundi wa kuendesha pikipiki hauishii kwa wanadamu tu, hata wanyama wanaweza, kama anavyothibitisha kima huyu anayeonesha manjonjo ya aina yake anapokuwa juu ya "kapikipiki." Ajabu ni kuwa anajua hela kweli! Akitunzwa anatua pikipiki anakusanya fedha anatia kwenye kihelmeti chake halafu anaendelea na kuonyesha manjonjo yake...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 29, 2016 03:29 UTC