-
Fanya ajali zako kokote, lakini usifanye ajali na polisi
Jun 25, 2016 11:14Ajali ya pikipiki na gari la polisi. Nani mkosa, polisi ambaye ameondoa gari bila ya kuangalia nyuma au mwendesha pikipiki ambaye ameendesha bila ya tahadhari na kwa kasi kubwa katika sehemu penye msongamano wa magari?
-
Kiongozi Muadhamu awausia viongozi wa serikali kufuata mwenendo wa Imam Ali (as)
Jun 23, 2016 04:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya jana alikutana na kuhutubia baraza la mawaziri kabla ya dhifa ya chakula cha futari ambapo alieleza vipengee kadhaa vya hekima za Imam Ali bin Abi Twalib (as) zilizoandikwa katika kitabu cha Nahjul Balagha.
-
Video: Operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi waliotaka kufanya hujuma Tehran, Iran
Jun 22, 2016 17:16Baada ya kusambaratisha njama za magaidi wa kitakfiri waliotaka kufanya mashambulio mjini Tehran, Wizara ya Usalama wa Ndani ya Iran imesambaza mkanda wa video unaoonesha sehemu moja ya operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi hao wakiwa katika maficho yao mjini Tehran.
-
Kuna baadhi ya watu wameyachoka maisha yao...
Jun 18, 2016 11:20Akili ikiongozwa vibaya huwa hasara kwa mwili. Kutafuta umaarufu huweza kuwa balaa kwa watu. Mtu huyu anamlima mamba kwa kutumia mdomo wake bila ya kujali hatari inayoweza kumaliza uhai wake...
-
Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq
Jun 18, 2016 10:56Mkanda huu wa video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, unaonesha namna kikosi maalumu cha Iraq kinavyowatia mbaroni kwa mkupuo magaidi kadhaa wa Daesh mjini Fallujah wakiwa wamejificha kwenye kibanda kimoja cha udongo...
-
Zarif: Iran inaweza kuwa mshirika muhimu wa kibiashara wa Ujerumani
Jun 16, 2016 07:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kusababisha madhara katika ushirikiano wa kiuchumi kati ya Iran na Ujerumani na kwamba Iran ikiwa ni nchi iliyopiga hatua inaweza kuwa mshirika muhimu wa kibiashara wa Ujerumani.
-
Simba mlipiza kisasi, maisha ya mkufunzi yangelimalizika kama...
Jun 01, 2016 13:38Simba mwenye kisasi cha muda mrefu aamua kumalizia hasira zake kwa mkufunzi wake. Cha ajabu ni kuwa simba jike anaingilia kati kumpoza simba dume, lakini haisaidii kitu. Zaidi ni kuwa simba huyo hamshambulii mkufunzi mwingine, isipokuwa yule yule tu aliye na kisasi naye...
-
Mwanamke aanguka kwenye moto na kuungua wakati wa ibada India
Jun 01, 2016 13:32Mwanamke mmoja aliyekuwa katika ibada ya kupita juu ya moto nchini India aanguka katikati ya makaa ya moto na kuanza kuungua
-
Mbwa anavyomuokoa paka mlevi
Jun 01, 2016 13:11Baadhi ya wakati mnyama anaweza kuvunzwa akaelewa kuliko hata baadhi ya wanadamu. Kipande hiki cha video kinaonesha namna mbwa alivyotekeleza vizuri amri za bwana wake na kumuokoa paka mlevi na kumrejesha nyumbani kwa mbinu ya ajabu...
-
Inaposemwa ajali haina kinga ni kama hivi...
Jun 01, 2016 13:03Hawakukosea Waswahili waliposema ajali haina kinga. Tab'an makusudio ya methali hiyo ni katika ajali kama hii...