-
Yemen yayaonya mashirika ya ndege ya kimataifa kuhusu safari za kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel
May 19, 2025 08:32Afisa wa ngazi ya juu wa Yemen ameyatahadharisha mashirika ya ndege ya kimataifa juu ya kuanza tena safari za kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) huku operesheni za kulipiza kisasi za nchi hiyo ya Kiarabu zikiendelea.
-
Malengo makuu ya utawala wa Trump ya kuandaa mpango wa kuwahamishia Libya Wapalestina
May 19, 2025 06:58Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, unaendeleza mpango wa kuwahamisha kabisa Wapalestina milioni moja kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Libya barani Afrika.
-
Israel imewaua wanahabari 219 wa Palestina Gaza ndani ya miezi 19
May 19, 2025 03:37Maafisa wa Palestina wamesema kuwa, wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi takriban waandishi wa habari 219 na wafanyakazi wa vyombo vya habari tangu vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo kuanza katika Ukanda wa Gaza zaidi ya miezi 19 iliyopita.
-
Jeshi la Yemen lautwanga tena kwa kombora uwanja wa ndege wa Israel
May 18, 2025 23:57Jeshi la Yemen limetangaza kuwa kwa mara nyingine tena limeutwangwa kwa kombora la balestiki na droni uwanja wa ndege wa Ben Gurion wa utawala wa Kizayuni huko Tel Aviv.
-
Guterres: Kuwafukuza watu wa Gaza ni jambo lisilokubalika
May 18, 2025 07:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, sambamba na kupinga kuhamishwa kwa watu wa Ukanda wa Gaza, amesema kuwa, adhabu ya pamoja dhidi ya watu wa Palestina ni kitu ambacho katu hakihalalishiki.
-
Wanamichezo 560 wameuawa na Israel katika vita vya Gaza
May 18, 2025 07:24Naibu Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari wa Michezo wa Palestina, ametangaza kuuawa shahidi kwa wanariadha 560 wa Kipalestina na uharibifu mkubwa wa miundombinu ya michezo katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza hujuma ya kinyama ya Israel mnamo Oktoba 7, 2023.
-
Jeshi katili la Israel laua Wapalestina zaidi ya 200 ndani ya saa 48 Ukanda wa Gaza
May 18, 2025 05:51Katika kipindi cha saa 48 zilizopita, jeshi la Israel limeua zaidi ya Wapalestina 200 na kuwalazimisha zaidi ya watu 300,000 kuyakimbia makazi yao kutoka Ukanda wa Gaza Kaskazini kuelekea Mji wa Gaza. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Habari ya Gaza iliyotolewa Jumamosi.
-
Hamas: Nchi za Kiarabu zichukue hatua kumaliza mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
May 18, 2025 00:58Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imewataka viongozi wa nchi Kiarabu kuchukua hatua za haraka na za kiutendaji ili kumaliza mashambulizi yanayoendelea ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuondoa vizuizi vya kibinadamu vinavyosababisha maafa katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Ansarullah: Israel haielewi lugha nyingine isipokuwa ya makombora
May 17, 2025 23:44Kwa mara nyingine tena Harakati ya Muqawama ya Ansarullah imevurumisha kombora la balestiki kutoka Yemen na kupelekea sauti za ving'ora kuhanikiza katika maeneo mengi katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ikiwemo miji mikubwa, mbali na kuibua miripuko kadhaa.
-
Je, ulinzi wa anga wa Yemen unaweza kuwa tishio kwa ndege za F-35 za Marekani?
May 17, 2025 22:58Marekani ilianzisha mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Yemen Machi 15, mwaka huu, ambayo ilikuwa operesheni muhimu zaidi ya kijeshi ya Marekani Asia Magharibi tangu Rais Donald Trump wa Marekani aingie tena madarakani.