-
Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza
Apr 03, 2025 03:34Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
"Saudia, UAE, Qatar, Kuwait zapiga marufuku ndege za US kufanya mashambulio"
Apr 02, 2025 23:04Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya ndege au anga zao kufanya mashambulizi dhidi ya Yemen.
-
Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen
Apr 02, 2025 23:03Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada na uungaji mkono wake kwa Wapalestina wa Gaza, limepelekea makumi ya raia wa Yemen kuuawa ndani ya wiki mbili.
-
Muungano wa makundi ya Muqawama wa kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni
Apr 02, 2025 23:00Viongozi wa makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi wametoa ujumbe kwa nyakati tofauti wakisisitiza kwamba wataendelea kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni kwa umoja wao.
-
Waziri mlowezi wa Kizayuni avamia tena Msikiti wa Al-Aqsa, Wapalestina wazuiwa wasiingie kusali
Apr 02, 2025 08:00Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia tena Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa huku akilindwa na kusindikizwa na vikosi vya usalama vya utawala huo ghasibu.
-
Uingereza: Ghaza ndio mahali hatari zaidi duniani kwa wahudumu wa misaada ya kibinadamu
Apr 02, 2025 07:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa Ghaza na kukiri kuwa eneo hilo la ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni "mahali hatari zaidi duniani" kwa watoaji misaada ya kibinadamu.
-
Wakati anatumikia kifungo jela, Imran Khan ateuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel
Apr 02, 2025 07:01Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa "kazi aliyofanya kuhusiana na haki za binadamu na demokrasia nchini Pakistan". Hayo yameelezwa katika tamko lililotolewa na chama cha siasa cha Norway Partiet Sentrum.
-
Wapalestina 11 wauawa shahidi katika mashambulizi ya leo ya jeshi la Israel
Apr 02, 2025 03:28Duru za kitiba zimetangaza kuwa Wapalestina 11 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza mapema leo.
-
Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza
Apr 01, 2025 23:35Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema akizungumzia mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwaondoa Wapalestina Ukanda wa Gaza kwamba: "Mtu yeyote anayeweza kushika silaha anapaswa kuchukua hatua katika uwanja huu."
-
Mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Yemen, je, Marekani itaweza kufungua njia za Bahari Nyekundu?
Apr 01, 2025 11:57Wiki hii, Jeshi la Yemen lilitangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za kivita za Marekani, ikiwa ni pamoja na mwanuwari ya USS Harry S. Truman ya Marekani ya kubebea ndege, katika Bahari Nyekundu.